MO Achafua hali ya Hewa; Aja na Mo Scholars Program

Amefanya vyema maana angesema vyuo vyote pengine chuo darasa zima wangeenda maana kuna vyuo darasa zima wote wa First class
 
kama hamuelewi lugha muwe mnakaa kimya na sio kukurupuka.Hapo amehitaji watu ambao wamekubaliwa kujiunga na chuo kikuu dar es salaam kuwa ndio wanahusika na iyo scholars program.Kuna watu wamefanya degree ya kwanza kutoka vyuo vingine na wameomba kufanya masters UDSM na wana hizo GPA alizotaja hawa wanauhisika pia so hajasema uwe umetoka chuo gani ndio uchukuliwe Bali chuo utakachotakiwa kusoma ili upate iyo scholarship ni UDSM.
Sio Mo peke yake anayefanya ivo hata akina Bill gates pia wanafanya ivo yaani unaweza kuwa unatoka chuo cha nchi yoyote ile kikubwa utimize GPA wanayoitaka na wanakupa option ya vyuo husika na most of the time vinakua vyuo vyao au vyuo vya washirika wao wa kibiashara.

Hata ivo Mo kuchagua UDSM sababu hatutakiwi kujua maana hakuna mwenye haki ya kumpangia mtu aliyeamua kufanya kitu kwa hela zake mwenyewe.Huenda ameamua kuanza na UDSM kwa majaribio kabla hajaanza na vyuo vingi kwa wakati mmoja alafu pasiwe na mafanikio.Pia huenda Kuna makubaliano fulani kati yake yeye na Uongozi wa chuo.Huenda anataka kuwatumia wasomi hao ktk vipindi vya weekend au kipindi cha field au rikizo ambavyo ni vigumu kwa watu wanaosoma vyuo vilivyopo mbali na projects zake.Huenda katika scholarship zake anatoa packages tofauti tofauti kama transportation,medical ,accommodation na nyingine nyingi so anahis kwa namna moja au nyingine kwa chuo kilichopo karibu inaweza ikareduce cost.Hizi zote ni assumptions zangu tu .

Mi nadhani apongezwe na sio kubezwa maana kuna matajiri wengi hapa Tanzania ambao hawajathubutu kufanya kitu kama hiki.Hao maproffesor wanaolalamika usikute hawajawahi kumsomesha hata mtoto mmoja ambaye sio familia yake lakini ni kweli hawana uwezo huo?

Watanzania tubadilike banaa sio lazima kila kitu kipelekwe kisiasasiasa.
 
View attachment 390616View attachment 390617View attachment 390618View attachment 390620

Nasikia Maprof wa The Udom aka Vilazer wamemind kinyama.

Serikali ya Wanafunzi Udom imepiga marufuku bidhaa za MO kuuzwa THE UDOM

Udsm Home of VIPANGA
Ndg, hata km umetoka chuo kikuu cha mbinguni, usiite wanaUDom vilaza !!!!! Utamu wa ngoma ingia ucheze.Pipo mnaisuta Udom huku hamjasomea pale, Kwa nini ? Wew unadhani watu wanazawadiwa digrii pale ? Ungejua msoto uliopo hapo Udom usingesema haya.Acheni mambo ya ajabu.By the way vyuo vyote vilaza na vipanga wapo.Sio Havard, muhas, Udom saut sua Udsm n.k kote n yaleyale tuu hakuna jipya tusitishiane bure jamani ! Lol ha ha
 
mkuu Harvard hakuna kilaza.Fatilia kwa kina sifa za watu wanaochukuliwa Harvard.
 
Ndg, hata km umetoka chuo kikuu cha mbinguni, usiite wanaUDom vilaza !!!!! Utamu wa ngoma ingia ucheze.Pipo mnaisuta Udom huku hamjasomea pale, Kwa nini ? Wew unadhani watu wanazawadiwa digrii pale ? Ungejua msoto uliopo hapo Udom usingesema haya.Acheni mambo ya ajabu.By the way vyuo vyote vilaza na vipanga wapo.Sio Havard, muhas, Udom saut sua Udsm n.k kote n yaleyale tuu hakuna jipya tusitishiane bure jamani ! Lol ha ha
Unajua Cutting point ya kuchukuliwa Udsm kwa faculty za law. Je faculty za education nazo.

Udsm usiichukulie poa mkuu.

Tanzania one wote tupo huku. Mtu apate one ya 7 form four na one ya 4 form six Leo umfananishe na aliyepata three ya mwisho aliyechaguliwa vyuo vya kata.

Endelea kujifariji ila ukweli unao.
 
Ni vigezo mnatumia kusema kuwa wanaosoma Udsm ni vipanga..
Wakat kuna watu nimewafanyia application mwenyew hapo udsm wana div 3 na wamepata...
 
Back
Top Bottom