Mnyukano wa Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos ubunge wa Ilala CCM 2015

Sasa kwa nini CDM isikubalike Ilala? kama una ujasiri toa hoja maana sehemu nyingi imekubalika, kwa hiyo si suala la sera, tuambie nini hasa mpaka utamani kuhama Nchi? Maana kuapia huku ni kama vile hujui demokrasia maana yake nini.

Hoja yangu ni hiyo. Na si sehemu inayokubalika kama unavyoamini, ingekuwa inakubalika sehemu 'nyingi" tungemuona Slaa na Josefina wapo Ikulu saa hizi, wapii!
 
Mnyukano upo Ukonga ambako Jery ni mzawa wa Gongo la mboto, lakini hilo jimbo litanyakuliwa na wapinzani
 
jery slaa atulie kwa sasa nafasi ni ya mwanamke, wanaume ilala basi kwa sasa. mnakumbuka issu ya uspika? hilo ndilo jibu atakalopewa, ila baadae kama inawezekana atatulizwa kwa post ingine-iwapo cdm haitachukua madaraka
 
Ukitaka kuwachafua hawa wazamiaji, wahindi koko, na waharabu, wa------- waambie kuhusu CDM, wana mind kichizi! maana wanajua hicho ndiyo kificho chao cha kufanyia mambo machafu, na wanajua kuwapoza magamba ni kumwaga pesa tu!

Hayo sii kweli na unazungumza utumbo mtupu!! mbona wengi Wamo CDM na kweingine? ED, Chenge nk walifanya mazuri?
afu nani amwage pesa Ovyo alizochuma kwa jasho lake? Wew acha upotosh na umbea wako!! "be FAIR"
 
Huyo Al Kharoos ni mzazi wa mwenzake na mwenye kaya! walizaa 1985 kama sikosei..na Kuhusu taarifa za Ilala si kweli kwasababu kuna majimbo zaidi ya matatu, na kwanini iwe Ilala?! Huyo mama aendelee tu kufanya biashara yake ya mafuta na Gbp Oil yake na aendelee kutafuta umaarufu michezoni kwa kudhamini Twiga Stars na Simba..eti jike la nyuki...mppssxxyy

Kweli majungu na unafiki umezidi hapa,kampuni ya GBP inahusika vp na rahma?
Acha majungu ya kike wamiliki wa GBP hata rahma hawamjui,sema kitu ambacho una uhakika nacho sio kuleta majungu mradi usifiwe
 
Ni moja ya jimbo linaloongozwa na watu wasio na maana kabisa.. Wakazi wake wengi ni watu wa hovyo.. Waoga sana.. Ccm hata wakiweka chizi anashinda.. Wengi wahindi waarabu wapemba... Wapemba wamenunua nyumba nyingi lakini waoga..
Wee bangoo acha umbea usemayo ni Sensless (upuuzi mtupu) wachache tu Lakini TZ Nchini nzima ni waoga na hovyo nawe ukiwemo !! kwani hatujijui unashabikia utumbo nna Baseless points.
CCM inavyake na CDM ina mbinu zake wote hawajali maisha ya Mtanzania wa kawaida vyama vyote wakiwa madarakani hukandamiza, hutishia na kudhulumu wanyonge nchini. (mfumo huo popote pale) !!
andika ya kweli au mezea tu!!
 
Kweli majungu na unafiki umezidi hapa,kampuni ya GBP inahusika vp na rahma?
Acha majungu ya kike wamiliki wa GBP hata rahma hawamjui,sema kitu ambacho una uhakika nacho sio kuleta majungu mradi usifiwe

Sorry its RBP OIL & Industrial Technology
 
Wote hao wanajitesa majimbo yote hayo yanaingia mikononi mwa CDM


Thubutuuu... jimbo liende Chadema kwa watu wa kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu, Ilala ni ya wana kindaki ndaki wa darisalama hatuwi ng'o chadema . hatutaki chama kitakachotugawa kwa udini na ukabila labda baada ya miaka 1,000 tumeshakufa wameshakuja watoto walochanganya labda!
 
Huyu hapa na mwanawe.....mengine siyajui!Hapa wakiwa Sunderland AFC Uingereza wakati wa mkutano wa G8...Incidentally mkulu naye akatembelea Sunderland hiyohiyo wakati huohuo!

malkia++6.jpg


images

Nimesha changanya na zangu..basiii..YATOSHA!
 
Mimi nina imani Chadema itachukuwa Ilala tena kwa kishindo maana Watu wamechoka na CCM
 
Jerryyyyyyyyyyyyy wapishe wenye nguvu wapite watakuumiza bure. Sasa na amini atapunguza mashambulizi dhidi ya CDM.
 
ilala wanakaa wajinga wajinga... Wanaopewa kanga pombe, flana na 5,000.. Zungu anapita kirahisi sana... Waswahili ni watu wabaya sana... Wanaridhika na vitu vidogo vidigo!
yaani wewe unawaita akina FaizaFoxy wajingawajinga?????
 
Last edited by a moderator:
Hayo sii kweli na unazungumza utumbo mtupu!! mbona wengi Wamo CDM na kweingine? ED, Chenge nk walifanya mazuri?
afu nani amwage pesa Ovyo alizochuma kwa jasho lake? Wew acha upotosh na umbea wako!! "be FAIR"
nilichojibu ni ukweli mtupu, na ningekuwa nimeandika utumbo mtupu ungepata nni cha kuchangia, hivyo kuna point ndiyo maana unajiuma, muda unakuja na ndiyo utajua ukweli ninao ongea, tanganyika itakomboka
 
Huyo Al Kharoos ni mzazi wa mwenzake na mwenye kaya! walizaa 1985 kama sikosei..na Kuhusu taarifa za Ilala si kweli kwasababu kuna majimbo zaidi ya matatu, na kwanini iwe Ilala?! Huyo mama aendelee tu kufanya biashara yake ya mafuta na RBP OIL & Industrial Technolog yake na aendelee kutafuta umaarufu michezoni kwa kudhamini Twiga Stars na Simba..eti jike la nyuki...mppssxxyy

Mwenye kaya ni yule kaka wa Msoga?
 
Uzalendo kama wa Nasari?
si kama wa mtu yoyte, sisukumwi na mtu, uzalendo kwa vizazi vijavyo vya kitanzania/tanganyika, uzalendo hauigwi haufundishwi ni dhamira ya ndani ya mtu...na pia si dhambi kutokuwa mzalendo, maana kuna namana nyingi za kujipatia mkate wa kila siku
 
Back
Top Bottom