Mnyukano wa Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos ubunge wa Ilala CCM 2015

Siku chadema ikipata kura hata 40% IIala ntaihama nchi.

Mgonjwa mwingine huyu hapa>Wale waliosema CDM wakipata hata kiti kimoja uchaguzi wa madiwani Arusha wapo wapi au ndo wewe unakuja na Id tofauti?Wewe u mtumwa wa dhambi.Ila tu wanaJF Jeri Silaha hagombei jimbo hili yeye anataka lile la Ukonga ndo maana wapo kwenye mchuano mkali na Makoongoro ambaye nae anataka kuhamia jimbo lile baada ya kuona moto wa CDM kule Segerea.MTANIKUMBUKA KWA HILI.Hivi sasa kuna wakaguzi Auditors wapo kukagua Manispaa ya Ilala kutokana na vita ya wawili hao.
 
CCM wanarudia Makosa ya 2010. Wenye hela ndo wenye nguvu ndani ya chama na ndo hao wanaisimama kua wagombea wakati kwa wananchi hawana mvuto kabisa na wanasahau kua wananchi ndo wanaochagua. Kama huna pesa ndani ya CCM hutapata nafasi ya kugombea ubunge au uongozi wowote ule
 
Habari za ndani ni hapatoshi CCM Ilala kati ya makada wa CCM Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos (Malkia wa Nyuki) tajiri wa Simba anayeishi Oman na pia mwanachama wa CCM na mfanyabiashara mwenye uraia wa Tanzania na Oman ambaye baba yake ni ruban mstaafu wa Oman Airways. Wote hawa wanautaka ubunge kupitia jimbo hlo. Inadaiwa Jerry alikuwa ashakubaliwa na vikao vya ndani kuwa atapewa nafasi hiyo kwa kuwa Zungu hatagombea, ila chanzo cha habari kinadai kuwa hali imetibuliwa na maelekezo kutoka juu kuwa viongozi wamwandalie nafasi na mkakati mzuri Rahma Al Kharoos ili agombee 2015.

Mbona unawataja hao wawili kwani Zungu ametangaza hatagombea ama unamuona Zungu kama hana nguvu mbele ya huyo Jery Slaa na malkia wa nyuki
 
hivi kuna watu bado mna akili finyu kiasi hiki....bado watu na akili zenu mnakaa mnajadili habari za maccm humu....kwa sasa maccm wote hawastahili hata ubalozi wa mtaa.....
 
Huyo Al Kharoos ni mzazi wa mwenzake na mwenye kaya! walizaa 1985 kama sikosei..na Kuhusu taarifa za Ilala si kweli kwasababu kuna majimbo zaidi ya matatu, na kwanini iwe Ilala?! Huyo mama aendelee tu kufanya biashara yake ya mafuta na RBP OIL & Industrial Technolog yake na aendelee kutafuta umaarufu michezoni kwa kudhamini Twiga Stars na Simba..eti jike la nyuki...mppssxxyy


Malkia hagombanii ubunge ili apate sifa au kutafuta umaarufu, yeye anataka kuleta changamoto pamoja na maendeleo nchini. Si kama wafanyavyo wabunge wengine, wao wanagombania ubunge ili tu waje kulala bungeni na kutembea na machangu kwa siku mara mbili na kusahau majukumu yao.
 
CC: chama Gongo la Mboto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kuishi omani, ubunge ilala, duh, lakini ndani ya ccm lolote lawezekana! Tusubiri tuone!

Viongozi kama hawa hawana uzalendo hata kidogo na nchi yetu. Hawa ni kama akina Rostam Azziz, Abood wa morogoro mjini na wabunge wengine kibao tu wenye asili ya nchi za Asia. tubadilike watanzania tuchague viongozi wazalendo na nchi yetu
 
Ukitaka kuwachafua hawa wazamiaji, wahindi koko, na waharabu, wa------- waambie kuhusu CDM, wana mind kichizi! maana wanajua hicho ndiyo kificho chao cha kufanyia mambo machafu, na wanajua kuwapoza magamba ni kumwaga pesa tu!
bania mbaya kiatu chake dawa. Umesahau kina slaa walivyo kua wanajichekeleza nyumbani kwa yule mhindi.
 
Viongozi kama hawa hawana uzalendo hata kidogo na nchi yetu. Hawa ni kama akina Rostam Azziz, Abood wa morogoro mjini na wabunge wengine kibao tu wenye asili ya nchi za Asia. tubadilike watanzania tuchague viongozi wazalendo na nchi yetu
hivi ni kina nani wanao imaliza hii nchi?hao wazalendo ndio wizi wakubwa tena hakuna cha ccm wala upinzani. Wizi mnaishi nao nyumba moja halafu mnalaumu jirani.
 
hivi ni kina nani wanao imaliza hii nchi?hao wazalendo ndio wizi wakubwa tena hakuna cha ccm wala upinzani. Wizi mnaishi nao nyumba moja halafu mnalaumu jirani.

Labda mkuu huifahamu definition ya uzalendo kama mtu ni mzalendo lazima atakua na uchungu na nchi yake na yupo tayari kujitoa na kuitetea nchi yake
l
 
I salute you!!! Na kuna wakati walitaka waendeleze mambo ikapigwa stop toka kwa wanausalama!!! hakuna siri chini ya anga hili. Hebu toeni heshima kwa mama yetu mvumilivu sana sana, tena tumpigie makofi yule mama kwa uvumilivu. Aibu sana. Yaani alikuja kwa pupa mara timu ile mara media hii mara vile ili mradi kumtingisha mama mkubwa. Fia mbali na umalkia wako wa asali na nyuki.
mmh!!slow down mkuu,hivi kweli hao jamaa wana uwezo wa kumpiga marufuku mkulu kuhusu kula vitu roho inapenda.?kwenye starehe hizo sidhani kama jamaa anaweza kuamuliwa.never.
 
Back
Top Bottom