LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,454
- 789
dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.
akili yako haina ushirikiano ndo mana huwezi kuuona mchango wa mnyika na hauto kuja kuuona bila akili yako kukua na kuw apevu sie ambao tunajua kwa nini anaomba miongozo ndio tunao fahamu tena hata hivo naona bado miongozo haitoshi coz ccm wanavunja sana sheria za bunge, na ukiona m2 anaomba miongozo ujue anafuatilia sana mada zinazo ongelewa hapo bungen ndo mana anayaona hta hayo makosa anayo yaombea muongozo ,mbona lukuvi humuongelei wakati nae ni bingwa wa miongozo bungen?