singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Wajua kuwa shule za jimbo la ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembele shule za msingi, manzese, ukombozi, tandale magharibi, makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lkn kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
act tukae bila mbunge? Chama hakuna Hata Diwani wala hakitarajii kupata!Mkishindwa njooni act
Ni kweli wanakaa chini, sababu kubwa ni serikali sikivu yenye vipaumbele tofauti inayoongozwa na chama kikongwe kabisa
Hakikisha hii taarifa pia unaipeleka TAMISEMI ili waijumuishe kwenye mipango ya halmashauri ya wilaya ya kinondoni mwakani bila kukosa...
Mnyika atafanya anayoweza hasa kwenye kupigania inclusion ya priorities za watu wake kwenye government plans... ila yeye haweza kufanya funding allocation kwa nchi nzima
Ndugu yangu Tanzania nzima watoto wanakaa chini! Au wewe ulisoma shule za binafsi?Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Na mfuko wa jimbo unafanya nini? nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.
Na mfuko wa jimbo unafanya nini? nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Mfuko wa jimbo kujenga nyumba.
Mfuko wa jimbo kujenga nyumba.