Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 206
Leo tunashuhudia siku ya saba watanzania wakitaabika kwa kukosa huduma ya matibabu. Je, wenye dhamana wanasema nini? tumefanya kila jambo imeshindikana, hatuwezi kusema lolote jambo hili liko mahakamani, tume imeundwa
. Udhaifu huu wanaounesha viongozi wetu ni mkubwa kuliko alivyosema Mnyika.
Techinicalities and protocol aside watu wanakufa jamani - haitoshi kutupa majibu haya yasiyo na mshiko hivi mmetaarifa magonjwa yasubiri kwani jambo hili liko mahakamani.
Kwa hili nasema mihimili yote sasa imethibitisha udhaifu mkubwa na kutokujali wananchi wake - mbunge wangu naomba jibu kama jambo liko mahakamani nimwambie nini mgonjwa wangu?