Msusu
Member
- Dec 23, 2009
- 20
- 3
Ndugu John J. Mnyika, mbunge wa jimbo la ubungo, mimi ni mpiga kura wako ambae nlikuchagua kwa mbwembwe nyingi mno na nlikua mmoja wa wasimamizi wa kura zako pale mabibo, ninakaa kimara bonyokwa. kwa kweli mbunge wangu kipenzi njia zetu zote hazipitiki brother, hapa nipo hapa vinane kama unapafahamu almost anhour gari haziendi miundo mbinu mibovu sana bro. bahati mbaya sana we don't have an alternative way ya kutufikisha akwetu bro. makaravati mengi hayapitiki right now sababu ni mvua halafu hamna anaejali. najua una majukumu mengi ya kitaifa ila hili ni mojawapo kaka yaani tumekosa motivator tu, njoo tu organise tuweke sawa njia zipitike mkuu. yaani ni kuanzia kimara mwisho pa kuingilia kwetu bonyokwa ni shida na huku v8 pia.
ni mimi mkazi wa bonyokwa mpiga kura wako na mfuasi wako. asante kwa kunielewa.
usiku mwema!!
ni mimi mkazi wa bonyokwa mpiga kura wako na mfuasi wako. asante kwa kunielewa.
usiku mwema!!