Mnyika ni Mbunge Makini siyo wakuhubiria 'MINARA YA SANAMU'

Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema

Msivishe kilemba cha ukoka kamakini si mngemplomot kuwa full katibu kuliko kuchukua mtu junior kuliko yeye ktk siasa.
 
Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema
Asante sana kamanda kileo tunakujua kwa msimamo wako na uthabiti wa uongozi.
 
Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema

Mbona hajitokezi kutoa kauli yake???
 
Mnyika mnasema anaumwa. Mnasema ni kiongozi makini hawezi kujibu hoja hovyo. Mnasema kama anasusa asuse. Mmh!
 
Attachments

  • 1467825040717.jpg
    1467825040717.jpg
    22.7 KB · Views: 27
Kwani Mnyika ni msemaji wa chama chenu, msemaji wa ccm kazi yake inaendana na wasifu wake. Nyie mnao shika madodoki kusafisha watu ndio toeni CV zenu.
Tuwekeeni hapa tuone nini alichovuna hasa kwenye elimu
 
it seems there is something being hidden. something wrong and boiling within Chadema top leadership. let's wait a bit, it will unfold.
 
Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema
Kileo
Wapo wabunge wakiamuka Bangi iruhusiwe kulimwa, wakisaini posho wanasema wabunge HawA mababei,wakiingia ukumbini wanawaza Diamond,wakitoka bungeni wanawaza mabonanza ya Jay dee,wakifika kule hotelini aah!

Ile posho marufuku kukatwa aah! Yule bebi wanayemnyesha atakula nini?

Ha haaa! Akili za kizimba cha kukusanyia taka ,zinachomwa ndani ya chama chakavu,heee!

Mnyika sawa na Kunde na maganda havichanganywi na maganda chakavu
 
Back
Top Bottom