Mnyika ni Mbunge Makini siyo wakuhubiria 'MINARA YA SANAMU'

henry kilewo aligombea ubunge jimbo la mwanga, ila ni katibu wa chadema DSM! sasa najiuliza kwa nn asiwe katibu wa chadema hukohuko mwanga??
 
Hana umakini wowote alikua anasema ana ushahidi wa kumfunga mtu mahakamni matokeo yake kaja kumkumbatia
Ikiwa ccm kwa uwingi wenu mmeshindwa kuiondoa rushwa katika nchi hii ,kwa nafasi yenu mmeshindwa kuwapatia maendeleo wananchi,kwa umoja wenu mmeruhusu watu wanywe maji machafu miaka 53 ,watoto wakae chini ,wananchi walale. Kwenye nyumba za nyasi,mmeua mashirika ya umma,wananchi wameendelea kufa kwa magonjwa yanayoepukika hadi mmelazimisha watu waende kwa Sangoma( Loliondo),

Mnakwepaje kuitwa chama cha majang-- *****
 
Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema
Baba joyce hebu tuambie kulikuwa na umuhimu sana kwa ww kumtetea mnyika?kwann yy mweweye hajitokezi na kujipigania?ni kipi mnachokificha nyie watu?
 
CHADEMA tunawaomba mkae kimya msijibu chochote kuhusu viongozi wenu wanawatafuta wanatafuta sababu
 
CHADEMA tunawaomba mkae kimya msijibu chochote kuhusu viongozi wenu wanawatafuta wanatafuta sababu
Lugumi ,makontena,bunge live,bajeti mflisi ,mara mwizi wa fedha kwenye miamala tangu wezi wanaswe bado nafuu ya maisha,bado dawa za hospitali ,kuzuiwa mishahara mipya na kila aina ya ghilba haijaonekana
 
Kama mnataka mali, mtayapata shambani.
 
Back
Top Bottom