Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

Kila haki ina mipaka yake! There is basic rights and duty to every thing! Soma katiba vizuri mburula!

basic right and duty right so to get information is one of the basic right and the government should respect it we don`t request for our rights but we fight for them! fuc....KKKKK uuuuuu
 
Tumemzowea!

ngoja waje vijana wa Kova utawaambia unatoka nchi gani na kiswahili chako hicho Angalia Operesheni Kimbunga kitakuzoa[/QUOTE]

Itamzoa mamako mrundi na pua ya kitusi! Mi ni mtanzania halisi!
 
basic right and duty right so to get information is one of the basic right and the government should respect it we don`t request for our rights but we fight for them! fuc....KKKKK uuuuuu

Yeees! Yeees! Fu......ck u toooo! And who next? The st....pid political party of yours! Who next!? Your moom! You dick head!
 
Najua yote hayo yanatokana na kutoisapot ccm ipo cku yataisha
 
Yeees! Yeees! Fu......ck u toooo! And who next? The st....pid political party of yours! Who next!? Your moom! You dick head!

your no longer in political arena your fool sh political part are going to die soon no more mass support your poor ideology will fail forever under this new youth awareness" tell this your dad that the time is OVER
 
Kina mnyika waungane bungeni kupelekwa muswada wa kufanya marekebisho ya sheria kandamizi na mbovu kama hizi badala ya kuishia kutoa matamko!

Sheria ngapi zilishaainishwa na Tume ya Nyalali zifanyiwe marekebisho lakini serikali imekaa kimya????
 
We Ben mtu akikuangalia kwa harakaharaka anaweza kudhani mtu mwenye busara,hekima na unafanya mambo ki taaluma! Kumbe huna lolote kichwani (brain washed) hiyo hoja unayoiweka hapa ina uhusiano gani na nilichopost hapo? Tumia ubongo kufikiri sio masharubu!

Ukijibiwa inavyopaswa unalalama na kulia.Next time usirudie tena.
 
Yeees! Yeees! Fu......ck u toooo! And who next? The st....pid political party of yours! Who next!? Your moom! You dick head!

Hii ndiyo Hekima,Busara na usomi unaohubiri?Please Get some fresh air!
 
tido ndugu chunga sana kuna tindikali ccm watu wabaya sana angalia na kucha na meno yako ndugu
 
Wanasiasa wa chama cha MATAMKO. Yaani anaitisha mkutano kuwaambia wananchi matakwa yake kwa serikali kuhusu gazeti la Mwanahalisi!.

Eti ametaka gazeti lifunguliwe. Kama ni kutaka mbona kila binadamu ana matakwa.

CHADEMA ina viongozi wa ajabu kweli. Jana ndiyo amekumbuka kutaka gazeti la Mwanahalisi lifunguliwe. Alikuwa wapi kipindi chote na matakwa yake ya matamko.

Si huyu huyu alisema serikali ni dhaifu?. Udhaifu wa serikali umezaa kwa sasa matakwa.
 
Katika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.

Sheria mbovu kama hazibadilishwi zinapaswa kupingwa kwenye mahakama ya umma na mahakama za kawaida. Mahakama za kawaida huchukua muda mrefu, je tunajua kwamba MwanaHalisi walifungua kesi mpaka sasa hukumu bado?"

Huyo Mwanyika kwani ndo Mungu?
 
Back
Top Bottom