Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

CHADEMA Mpya

Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
84
Reaction score
22
Katika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.

Sheria mbovu kama hazibadilishwi zinapaswa kupingwa kwenye mahakama ya umma na mahakama za kawaida. Mahakama za kawaida huchukua muda mrefu, je tunajua kwamba MwanaHalisi walifungua kesi mpaka sasa hukumu bado?"
 
Myika lini aliwahi kuunga mkono jambo la serikali? Ye anadhani kuitwa mpinzani ni kupinga kila kitu! Tumemzowea!
 
Aliposema JK ni dhaifu aliwahi kuungwa mkono na aliyekua msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni aliyelazimika kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND .Aliungana na Mnyika kwa kusema kweli Serikali ina ugonjwa mbaya,ugonjwa wa kufanya maamuzi.

So acha upotoshaji rejea kwenye vyanzo vyako tena.
 
Una sumu hapo?
 
Katika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.

Sheria mbovu kama hazibadilishwi zinapaswa kupingwa kwenye mahakama ya umma na mahakama za kawaida. Mahakama za kawaida huchukua muda mrefu, je tunajua kwamba MwanaHalisi walifungua kesi mpaka sasa hukumu bado?"
Hizi sheria za kijinga zimetungwa na kupitushwa na wabunge wa Ccm, ambao kazi yao ni kulala na wakishutuka wanasema ndioooooo! Sasa imefika mahali wabunge walio na mapenzi mema na nchi hii warudi bungeni na kukataa hizi sheria kandamizi kwa nguvu zote, kupiga kelele mitaani haitasaidia sana
 
Tatizo vyombo vya habari vyenyewe havina umoja ila kwa kufungiwa hizi magazeti ni kielelezo tosha ya kurudi kwa mwanahalisi wetu karibu sana
 
Tumemzowea![/QUOTE]

ngoja waje vijana wa Kova utawaambia unatoka nchi gani na kiswahili chako hicho Angalia Operesheni Kimbunga kitakuzoa
 
Kina mnyika waungane bungeni kupelekwa muswada wa kufanya marekebisho ya sheria kandamizi na mbovu kama hizi badala ya kuishia kutoa matamko!
 
Aliposema JK ni dhaifu aliwahi kuungwa mkono na aliyekua msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni aliyelazimika kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND .Aliungana na Mnyika kwa kusema kweli Serikali ina ugonjwa mbaya,ugonjwa wa kufanya maamuzi.

So acha upotoshaji rejea kwenye vyanzo vyako tena.

We Ben mtu akikuangalia kwa harakaharaka anaweza kudhani mtu mwenye busara,hekima na unafanya mambo ki taaluma! Kumbe huna lolote kichwani (brain washed) hiyo hoja unayoiweka hapa ina uhusiano gani na nilichopost hapo? Tumia ubongo kufikiri sio masharubu!
 
Mkuu vijana hatari hao, na walitaka kupinga hata uhai wa Zitto.
Thread ilikuwepo jana ikaondolewa chap chap.
 
Katika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.

Sheria mbovu kama hazibadilishwi zinapaswa kupingwa kwenye mahakama ya umma na mahakama za kawaida. Mahakama za kawaida huchukua muda mrefu, je tunajua kwamba MwanaHalisi walifungua kesi mpaka sasa hukumu bado?"

Kilichobaki kwa TIDO ni kumtoa roho basi. Hivi ukweli ndiyo uwe chanzo cha kufungiwa magazeti. Watu wanapenda tuwe tunaandika habari za kufikirika zile zilizofanyiwa kazi hawataki, wanataka nini ROHO za watu. USELESS!!
 
Back
Top Bottom