ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Basi mkuu ninaamini ilikuwa ni picha ya viongozi waasisi na si viongozi na wanachama wote!! Hata kama yule kibaka aliondoka na kundi la wanachadema lakini wapo wanachadema wengi tu London.
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.
Hongereni sana.
AIBU YAKO!! Nilijua utasema kitu ndiyo maana sikutaka kutoa picha zote. Ninazo kibao Nasubiri useme tena.
View attachment 86338
Wanachama
Yaani unamwita Kibaka wakati yeye ndiye aliyekuwa nafadhali shughuli zote za chama mpaka vyakula na vinywaji vya wahudhuriaji. Maana alisema bila vinywaji jamaa hawaji kwenye mikutano. Ilimcost sana Lukosi.
mkutano wa ccm ulikosa watu mgeni rasmi akiwa mzee wa tembo ikabidi waahidiwe ubwabwa,vinywaji na burudani kutoka kwa Diamond au umesahau..
kwa taarifa yako kulikuwa na watu zaidi ya 60 jana,sisi sasa hivi hatutabishana na nyinyi tena ...tunajenga chama kwanzaWamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.
Hongereni sana.
kwa hiyo alitaka tenda za magari yote ya m4c apewe yeye, halafu chdem tukishia apewe uwaziri!? hivi unamuona mzima, maana kuna mabadiko anaonekana yy na Mbatia chama moja..
Sawa mkuu, hakuna shaka. By the way, ndinga vipi? zimeshaingia town kuendelea na kazi?
kwa taarifa yako kulikuwa na watu zaidi ya 60 jana,sisi sasa hivi hatutabishana na nyinyi tena ...tunajenga chama kwanza
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.
Hongereni sana.
Ila hawa ni bora msiwaite viongozi. Waiteni waratibu, kwasababu kuwa kiongozi ni lazima uwe na mtu wa kumuongoza. Sasa hawa wanamuongoza nani?
Hawa wanaratibu uanzishwaji upya wa vuguvugu la chadema London baada ya muasisi wa awali Chris Lukosi a.k.a Mzee wa Kazi kujitoa na kundi kubwa la wanachama kumfuata...
hivi hawa jamaa wako UK au bariadi? mbona wamechoka namna hii.
Watanzania walioko UK wamechoka sana sijui kuna nn ile nchi tafauti na USA.