Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

Basi mkuu ninaamini ilikuwa ni picha ya viongozi waasisi na si viongozi na wanachama wote!! Hata kama yule kibaka aliondoka na kundi la wanachadema lakini wapo wanachadema wengi tu London.

Yaani unamwita Kibaka wakati yeye ndiye aliyekuwa nafadhali shughuli zote za chama mpaka vyakula na vinywaji vya wahudhuriaji. Maana alisema bila vinywaji jamaa hawaji kwenye mikutano. Ilimcost sana Lukosi.
 
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.
attachment.php
 
Mkuu Crashwise mbona hapa ilikuwepo thread ndefu tu jamaa alielezea sababu za kujitoa. Chilisosi tafadhali tolea hili ufafanuzi.

Jamaa alitumia gharama nyingi sana kuendeleza chama mpaka kampuni yake akawa haipi attention ya kutosha.
 
mkuu umewaumbua wanafiki kibao tukianza na lile puuzi ambalo halijui kuwa watoto wa kitanzania wanakaa chini wakati tuna misitu kibao lenyewe lina sifia barabara halioni tatizo la deni la taifa kuongezeka mara dufu, huku tukiwa na maliasili kibao wakizifisadi walio mpa tenda..
 
Yaani unamwita Kibaka wakati yeye ndiye aliyekuwa nafadhali shughuli zote za chama mpaka vyakula na vinywaji vya wahudhuriaji. Maana alisema bila vinywaji jamaa hawaji kwenye mikutano. Ilimcost sana Lukosi.

mkutano wa ccm ulikosa watu mgeni rasmi akiwa mzee wa tembo ikabidi waahidiwe ubwabwa,vinywaji na burudani kutoka kwa Diamond au umesahau..
 
mkutano wa ccm ulikosa watu mgeni rasmi akiwa mzee wa tembo ikabidi waahidiwe ubwabwa,vinywaji na burudani kutoka kwa Diamond au umesahau..

Sawa mkuu, hakuna shaka. By the way, ndinga vipi? zimeshaingia town kuendelea na kazi?
 
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.
kwa taarifa yako kulikuwa na watu zaidi ya 60 jana,sisi sasa hivi hatutabishana na nyinyi tena ...tunajenga chama kwanza
 
Tuna wasiwasi na uwezo wako wakufikiri huna la kufanya zaidi ya chadema?
 
Mkuu Crashwise mbona hapa ilikuwepo thread ndefu tu jamaa alielezea sababu za kujitoa. Chilisosi tafadhali tolea hili ufafanuzi.

Jamaa alitumia gharama nyingi sana kuendeleza chama mpaka kampuni yake akawa haipi attention ya kutosha.

kwa hiyo alitaka tenda za magari yote ya m4c apewe yeye, halafu chdem tukishia apewe uwaziri!? hivi unamuona mzima, maana kuna mabadiko anaonekana yy na Mbatia chama moja..
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo alitaka tenda za magari yote ya m4c apewe yeye, halafu chdem tukishia apewe uwaziri!? hivi unamuona mzima, maana kuna mabadiko anaonekana yy na Mbatia chama moja..

Lakini ndugu yangu Crashwise, sasa hivi natoka kwenye utani. Nakuuliza swali serious and I will appreciate kama utanijibu serious.

Je hizo tenda baada ya kutokupewa Lukosi amepewa nani? Na kwa vigezo gani?

Maana Lukosi alichalalamika ni upendeleo sasa kama vigezo vya huyo mwingine haviko clear ndio inaonekana kama ana case ya kumake.
 
hao watu si wa london bali wanakaa london lakini ni wazawa wa nyumbani hapahaph.kwani wewe hujui hilo.
 
Sawa mkuu, hakuna shaka. By the way, ndinga vipi? zimeshaingia town kuendelea na kazi?

zina subiri kontena la meno ya tembo lirudishwe kutoka Hong kong-china.. vipi mabilion yetu kutoka uswiss na kwingineko yamerejeshwa...
 
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.

Mkuu samahani, ni athari ya shule za kata au ni kwa makusudi?
Ina maana kweli umeshindwa kuelewa kichwa cha habari kinasema nini?
Kama ni kweli umeshindwa, basi kazi ipo.
 
kashesheki angalia usije ukawa kasheku,wewe unazan matatizo yetu yanasababishwa na nani?ni lazima watu waiseme ccm hata kama ni gizani,Tatizo lako una ushabiki na wizi wenu mnaoufanya.usimfunge mtu kujadili jambo mpe uhuru.acha udikteta utalaaniwa bili sababu.
 
Ila hawa ni bora msiwaite viongozi. Waiteni waratibu, kwasababu kuwa kiongozi ni lazima uwe na mtu wa kumuongoza. Sasa hawa wanamuongoza nani?

Hawa wanaratibu uanzishwaji upya wa vuguvugu la chadema London baada ya muasisi wa awali Chris Lukosi a.k.a Mzee wa Kazi kujitoa na kundi kubwa la wanachama kumfuata...

View attachment 86348
hii picha ilipigwa saa nne usiku yaani watu kibao walikuwa wameondoka hapo alafu lukosi hukujitoa alifukuzwa,na hakuondoka na mwanachama hata mmoja kwa hiyo mkuu usikulupuke fanya research kwanza
 
kashaambiwa ukitaka ujumbe cc ya magamba watukane chadema ndiyo maana anakesha hapa jf kuitukana chadema..
 
Back
Top Bottom