Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

demu aliyebakwa na lema ni yupi kati ya hao wawili?
 
Watanzania walioko UK wamechoka sana sijui kuna nn ile nchi tafauti na USA.

Maisha ya UK sio kama ya US...UK maisha ghali zaidi ya US...na wee ulitaka walipuke pamba wakati wa baridi kali??(0 degrees) siku hiyo??
 
CHADEMA kama Wazo la Ukombozi, ni kongwe kuliko CHADEMA Chama cha Ukombozi. Hii timu ya UK ni mwendelezo wa mwamko na nguvu ya mawazo ya ukombozi. Hawa sio wapiga kelele, hawa ni wakombozi.
 
attachment.php



attachment.php




View attachment 86338

Kwenye picha hizi hakuna ajuza/vikongwe ni vijana watupu!!
 
Kwenye picha hizi hakuna ajuza/vikongwe ni vijana watupu!!
Mkuu hapo umekosea sana
Huo ni ubaguzi mbaya sana , kwani vikongwe hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chadema?
Sio tu umedharau wazee wetu bali pia umejitukana na wewe pia kwa sababu najua una wazazi pia na pia wewe mwenyewe iko siku utakuwa kikongwe
 
Mkuu acha wivu utakufa kwa fedheha bure.
Wenzetu Chadema wanasonga mbele sisi CCM kutwa tunashinda hapa Lumumba kupika majungu tu na Propaganda za kitoto.

Ndugu yangu CCM kwa sasa katika mikoa ya Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Dar ni kama imekufa kabisa wakati tuna viongozi na wanachama katika mikoa hiyo, nini tatizo hasa?
Amka sasa ndugu yangu ukafufue chama na sio kuropoka chuki tu mtandaoni.

Huyo Lukosi hana lolote la maana kwa CCM zaidi ya kutafuta dili za tender za kupiga. Infact kwa sasa anajuta kwa sababu ya kujidhalilisha na tender ya TBS kaikosa. Kwanza hakuhama CHADEMA bali alifukuzwa kwa aibu kutokana na tabia chafu ya kutaka kutumia chama kama mgongo wakutokea.
Eti kwa sasa anajipanga kugombea ubunge Iringa mjini kupitia CCM!!! Maajabu ya dunia, wakati kuna makada wa CCM kama 10 kwa sasa wamejipanga kimafia kupita kura za maoni, Lukosi anatoa mapovu tu humu JF.
Halafu hajui kabisa nguvu kubwa ya kisiasa aliyonao Pastor Msigwa pale Iringa kwa sasa.


yes, penye kusifia fanya ivo. Sio ushabiki tu kwa kila jambo. Kula Like mkuu
 
Kuna vichwa kama vinne ninavijua hapo kwenye picha wamejiripua toka mwaka 2000 wanaishi Leeds na Briston, Norfolk. Toka lini mpemba akawa Chadema.



kwa hiyo haiwezekani Mpemba akawa cdm?? Fikra mbovu toka kwa mtu muovu km wewe. Shame!!
 
Wamehudhuria watu nane halafu saba kati yao ni viongozi wateule. Kwahiyo ukimtoa Mnyika inamaana waliohudhuria wote wamepata uongozi.

Hongereni sana.

Hiyo ni safu ya uongozi ndiyo imepiga picha na Mnyika............................... tumia ubongo wako vizuri
 
Mkuu hapo umekosea sana
Huo ni ubaguzi mbaya sana , kwani vikongwe hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chadema?
Sio tu umedharau wazee wetu bali pia umejitukana na wewe pia kwa sababu najua una wazazi pia na pia wewe mwenyewe iko siku utakuwa kikongwe

Huwezi kukosea when you make a factual statement; kwani kwenye hiyo picha kuna wazee wangapi unaowajua wewe ulipokuwa kule? Afadhali umerudi kwenye chama cha vikongwe wenzio kwani uwezo wako wa kuwaongoza hao vijana ulikuwa mdogo sana!!!! Bebana na ajuza wenzio watakulinda kwenye biashara zako.
 
Back
Top Bottom