Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 581
- 642
Mnyika ubungo kafanya mengi,ungepa pongezi zake,sijui umekula maharage ya wapi wewe.
Usicheze step ya ngoma usiyoijua kama umetumwa kumtetea kaa pembeni wenye ngoma ndio tunajia aina gani ya step tunayoicheza matatiz yetu tunayajua sisi na huyu hapiki mwaka huu..aende kanda ya ziwa watamchagua