rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Tumejitahidi sana kumtafuta na kupeleka kero zetu kijana hajibu wala haelewi ila kipindi kile anagombea alikuwa haipiti wiki ni lazima atutafute,mbaya zaidi diwani wetu ndio mlinzi wa akina mbowe dah tunajuta sana
Hawa jamaa wako kimaslahi zaidi, ni walaghai sana, wametumia nafasi ya kuona watu wanapenda mabadiliko, basi ndio wanawaburuza wanavyotaka, ila kumbukeni, mjinga akierevuka, mwerevu yuko matatani.