jamal seif
Member
- Nov 24, 2014
- 78
- 13
mimi kama mkazi wa ubungo nafikiri mnyika hafahamu vizuri watu walivyo mchoka jimboni kwake. wengi mnaomtetea ni kwa vile hampo jimboni kwake na hamjui ni jinsi gani wananchi walivyo mchoka huyu jamaa. nawaambieni october jamaa anawakati mgumu sana tuombe uhai ili wengi mlishuhudie hili ninalo waambia