Mnyika, La hasha rais Kikwete si dhaifu bali.....

Kikwete ndio msimamizi mkuu wa hiyo unayoita executive, ndio mwenye kuteua Na kuwavua madaraka Na kusimamia utendaji wao, Kama wameshindwa ni JK kashindwa. JK atabaki kuwa dhaifu as individual Na executive pia. Bunge likishindwa kusimamia Serikali, litabaki kuwa dhaifu kwa ujumla wake, hata Kama wapo wazuri humo.
 
Kweli namimi ningemsikia Mnyika anaomba radhi, kuanzia leo ningeondoka Chadema! Hebu fikilia Rais huyu wakati anakuwa rais Bei ya unga ilikuwa sh ngai na sasa ni shs ngapi? hapo nimesema hilo tu
Tuanujua kusikia hujuhi, hata kuona hukuona,
Je hata kusoma?
soma tena!

Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.

Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.

Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba.

Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais ana mamlaka ya kuvunja bunge.

Hivyo Rais Kikwete anapaswa kuagiza Waziri wa Fedha bajeti iondolewe irudi kwenye baraza la mawaziri ikafanyiwe marekebisho!

John Mnyika
19 Juni 2012
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?
 
Fanyeni mambo ili Msiitwe Dhaifu.... Kama Nyerere alivyowatabiria kwenye Gazeti
 
Nikiambiwa rais wangu ni dhaifu na huo ndiyo uwe ukweli nitashangilia sana.
 
ntafurahi coz huo ndo ukweli hata wao wanajua.....haijalishi mimi ni nani lakin ukweli unabaki kuwa jk ni dhaifu dhaifu times maelfu...over
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?

A spade will always be called a spade, doesnt matter how it will make you feel. na huu ujinga wa kuweka uoga sababu ya kutaka kutunza heshima usionayo machane nayo, heshima haiji burebure bila kufanyiwa kazi.
 
Rais ni dhaifu kwendelea kuwachekea chekea wezi wa mali za umma ni dalili ya udhaifu ameshindwa kuongoza watendaji waliopo chini yake.

ni dhaifu kwa sababu haijui kazi yake alioiomba anadhani ni kuponda raha. kweli hatuna Rais awamu ya nne ni kama gari lisilo na dereva au dereva kipofu
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?

mbona huwa wanamchora na kumnanga as DHAIFU
 
sio tu kenya na uganda mimi nipo zambia huwezi fananisha jk na satta sawa na kichuguu na mlima. Popote pale duniani nitaimba jf ni dhaifu.!

Acha kumlinganisha na acha wewe kusema. namaanisha kwamba mfano kabinti kahouse girl kakizambia kanakuambia "RAIS WENU HUYU KIKWETE NI DHAIFU SANA" Utakenua meno kwa furaha si ndio?
 
Huyo aliyesema mngemuliza sababu msingekuwa mnahangaika maana mgejua uwongo wake au ukweli acheni hasira.
 
Ndani ya familia kuna mkusanyiko wa watu wengi baba huwezi kujiita familia kama huna mke, watoto na tena mbali saana sisi waafrica tuna watoto wa shangazi, mjomba nk tunawalea ndani ya hiyo nyumba ya huyo mwanaume.

Je kichwa cha familia hapo ni nani na kama siku ikipita bila kupata chakula nani wa kwanza kulaumiwa? na tena ikiwa inatokea mara kwa mara nani ataonekana mzembe?? mnasema kuwa eti baba mwanaasha angekuwa mdhaifu mkulo angesoma budget nani aliemtoa mkulo? baba asha si alisema huo ni upepo tu?? baada ya kelele nyingi kutoka kwa wapinzani ikabidi alegeze maneno yake. yaani yote haya hata kwa kufikiria tu kwa kutumia akili za std 7 hilo watu hawalioni???

Msg sent and delivered ukitaka unaacha yaliyobaki ni media kuzungumza wanachokijua wao maana kiswahili kina maneno mengi utasikia watakavyo sema. nampongeza mnyika hata kama amelikosea bunge potelea mbali maana tumechoka kila siku kurudia yale yale. nashukuru arusha fm maana nimemsikiliza via online na nikamuelewa alikuwa ana maanisha nini mnyika.
 
kwa rasilimali tulizojaliwa na mola kwa kweli ni kufuru kubwa kuendelea kuona watoto walio katika hali hii huku tukijivunia miaka 50 ya uhuru! Tena tukaiadhimisha kwa mbwembwe na gharama ya kutisha!!

yesu wangu! Hao watoto ni watanzania?? Ebu acheni utani kuna watu bado wanaishi hivi au ni sudani please kuweni serious jamani.
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?

Will cheer up with a glass of white wine! Nitajua kweli mnafahamu M.kweere ni dhaifu na goi goi wa kimataifa
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?

Jk ni dhaifu tena dhaifu sana. Amen
 
Back
Top Bottom