Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,153
- 162,570
Naomba niseme tu, Mh.Mnyika, ni mbunge bora katika utungaji wa sheria katika bunge letu.
Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao, ame-prove to be the best lawmaker.
Huyu Mh. ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea hoja zake katika upitishaji wa vifungu vya sheri ila wingi wa wabunge wa CCM ndio kikwazo cha nchi hii kupata sheria bora.
Kwakweli he is very impressive awapo ndani ya Bunge.
Ningekuwa na uwezo, huyu Mh.ningemzawadia gari "brand new".
Tujenge utamaduni wa ku-pick the best legislator na kuwapa tuzo ili kuwatia moyo wabunge wanaotambua wajibu wao kwa umma.
Kwa wanaofuatulia Bunge, wataukubaliana na mimi ila kwa wale wenye wivu, wataleta hapa kejeli na siasa tu and nothing else.