Mnyika awaweka 'kikaangoni' Rais Magufuli, Spika Ndugai kuhusu Ripoti ya CAG

CHADEMA

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
488
2,468
Mnyika: Kuhusu Rais, Spika juu ya CAG na Bunge.

Tarehe 2 Aprili 2019 Bunge liliazimia kutokufanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad kwa tuhuma za kudharau na kudhalilisha umma.

Ufafanuzi tenge na tata wa Spika uliotolewa baadae kuwa Bunge halijakataa kufanya kazi na ofisi ya CAG bali na Prof. Mussa Assad bado hauwezi kutatua mgogoro wa kikatiba na kiutendaji utakaotokana na uamuzi huo wa Bunge.

Mathalani ibara ya 143 ibara ndogo ya nne imeelekeza kwamba "Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu atawasilisha kwa Rais kila taarifa atakayotoa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya pili ya ibara hii. Baada ya kupokea taarifa hiyo Rais atawaagiza watu wanaohusika wawasilishe taarifa hiyo kwenye kikao cha kwanza cha Bunge kitakachofanyika baada ya Rais kupokea taarifa hiyo na itabidi iwasilishwe katika kikao hicho kabla ya kupita siku saba tangu siku ile kilipoanza kikao hicho. Iwapo Rais hatachukua hatua za kuwasilisha taarifa hiyo kwenye Bunge, basi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu atawasilisha taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge (au Naibu wa Spika ikiwa kiti cha Spika ki wazi wakati huo au ikiwa kwa sababu yoyote Spika hawezi kutekeleza shughuli za kazi yake) ambaye atawasilisha taarifa hiyo kwa Bunge ".

Tarehe 28 Machi 2019 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aliwasilisha kwa Rais ripoti za ukaguzi za mwaka unaoishia 30 June 2018. Hata hivyo, badala ya Rais kutekeleza masharti ya ibara ya 143(4) kwa kuwaagiza wanaohusika wawasilishe taarifa hiyo kwenye kikao cha kwanza, tarehe 2 Aprili kikao cha kwanza cha mkutano wa 15 kikaazimia kutokufanya kazi na CAG.

Toka siku hiyo nne zimepita za vikao( na siku6 za kalenda) bila Rais kutekeleza matakwa ya ibara 143 (4) ambayo imetaka Rais kuhakikisha taarifa hiyo inawasilishwa kabla ya kupita siku saba tangu siku ile kilipoanza kikao hicho.

Mjadala unaoendelea sasa katika mitandao ya kijamii na maeneo mengine umejikita zaidi juu ya haja ya Bunge kubadili uamuzi wake, suala ambalo kama mbunge naliunga mkono. Hata hivyo, nawaomba wananchi kutumia siku ya leo tarehe 7 Aprili 2019 kumkumbusha Rais popote pale alipo kuagiza wanaohusika kuwasilisha Bungeni kesho tarehe 8 Aprili 2019 katika kikao cha tano (ikiwa ni siku ya saba) ripoti zote alizokabidhiwa tarehe 28 Machi 2019 ikiwa ni sehemu ya kuheshimu katiba ya nchi aliyoapa kuilinda.

Rais asitumie kisingizio cha azimio la Bunge la tarehe 2 Aprili 2019 wakati ripoti alikabidhiwa kabla tarehe 28 Machi 2019. Rais asikubaliane na ufafanuzi wa Spika kuwa atapokea ripoti zilizosainiwa na mtu mwingine toka ofisi ya CAG sio Prof. Mussa Assad wakati ambao tayari ripoti alizopokea zilishasainiwa yeye kwa nafasi yake ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu aliyetajwa na ibara ya 143(4).

Katiba ya nchi imemtaka Rais kuwaagiza 'watu wanaohusika ' wawasilishe taarifa kwa niaba yake hivyo Bunge kuazimia kutokufanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad kusitumiwe na Rais kama kisingizio cha kukwepa wajibu wake wa kuwaagiza wanaohusika kuwasilisha taarifa Bungeni kwa mujibu wa ibara ya 143(4). Wananchi mkumbusheni Mh. John Magufuli popote pale alipo kwamba #RaiswasilisharipotiyaCAGBungeni .

Wenu katika uwakilishi wa wananchi,

John Mnyika (Mb)
Dodoma-Jumapili, 07/04/2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho ndiyo tutajua unafiki wa yule jamaa
 
Sioni rais akiitii katiba kwa kuwango hicho. Ngoja tuone hiyo kesho. Lakini yeye binafsi anaamini katika utashi wa rais na sio katiba. Kwake cha muhimu ni vyombo vya dola kuwa watiifu kwake, hayo mengine yaliyoko kwenye katiba atayatekeleza kwa mtazamo wake. Na ukipiga jicho la ndani ni kama vyombo vya dola vinaangalia rais anataka nini na sio katiba inasema nini. Ngoja tuone hiyo kesho.
 
Lazima tusimame na katiba. Ndugai na genge lake halina mamlaka ya kuprevail juu ya katiba. Hilo azimio pereka huko ccm lakini sisi tunataka ripoti ya CAG itinge bungeni ili iwe published tupate kuisoma nothing more.
 
Mnyika mmoja ni zaidi ya wabunge wote wa lile chama chakavu

Sent from my Boeing 737-MAX 8 using Tapatalk
 
Human being were given authority to have dominion on all living things on earth ,not on other human being.

But some people are going beyond this order and start to have dominion on their fellow human being. This is unacceptable.

When a leader is elected ,one of the funder mental responsibility is to respect and adhere the respectful document that is called national constitution.

Failing to rule and administer the country according to the constitution is to go against with the will of the mass.

This country was built under the foundation of democratic principles ,which lay down the term of freedom ,equality ,fraternity and integrity.

Democracy is the mother of all human development. Researches show that ,there is a close relationship between democracy and development . It is stupid person only who can affirm that development can be obtained in absence of democracy.

In a democratic state ,people are free to criticize their political leaders without fear of being abducted. Leaders can bear to co- exist with their critics.

As a nation let us back to our values and virtues .Leading the country by using vices does not result in peace and harmony.

Sent using Jamii Forums mobile app
I
 
Mnyika: Kuhusu Rais, Spika juu ya CAG na Bunge.

Tarehe 2 Aprili 2019 Bunge liliazimia kutokufanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad kwa tuhuma za kudharau na kudhalilisha umma.

Ufafanuzi tenge na tata wa Spika uliotolewa baadae kuwa Bunge halijakataa kufanya kazi na ofisi ya CAG bali na Prof. Mussa Assad bado hauwezi kutatua mgogoro wa kikatiba na kiutendaji utakaotokana na uamuzi huo wa Bunge.

Mathalani ibara ya 143 ibara ndogo ya nne imeelekeza kwamba "Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu atawasilisha kwa Rais kila taarifa atakayotoa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya pili ya ibara hii. Baada ya kupokea taarifa hiyo Rais atawaagiza watu wanaohusika wawasilishe taarifa hiyo kwenye kikao cha kwanza cha Bunge kitakachofanyika baada ya Rais kupokea taarifa hiyo na itabidi iwasilishwe katika kikao hicho kabla ya kupita siku saba tangu siku ile kilipoanza kikao hicho. Iwapo Rais hatachukua hatua za kuwasilisha taarifa hiyo kwenye Bunge, basi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu atawasilisha taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge (au Naibu wa Spika ikiwa kiti cha Spika ki wazi wakati huo au ikiwa kwa sababu yoyote Spika hawezi kutekeleza shughuli za kazi yake) ambaye atawasilisha taarifa hiyo kwa Bunge ".

Tarehe 28 Machi 2019 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aliwasilisha kwa Rais ripoti za ukaguzi za mwaka unaoishia 30 June 2018. Hata hivyo, badala ya Rais kutekeleza masharti ya ibara ya 143(4) kwa kuwaagiza wanaohusika wawasilishe taarifa hiyo kwenye kikao cha kwanza, tarehe 2 Aprili kikao cha kwanza cha mkutano wa 15 kikaazimia kutokufanya kazi na CAG.

Toka siku hiyo nne zimepita za vikao( na siku6 za kalenda) bila Rais kutekeleza matakwa ya ibara 143 (4) ambayo imetaka Rais kuhakikisha taarifa hiyo inawasilishwa kabla ya kupita siku saba tangu siku ile kilipoanza kikao hicho.

Mjadala unaoendelea sasa katika mitandao ya kijamii na maeneo mengine umejikita zaidi juu ya haja ya Bunge kubadili uamuzi wake, suala ambalo kama mbunge naliunga mkono. Hata hivyo, nawaomba wananchi kutumia siku ya leo tarehe 7 Aprili 2019 kumkumbusha Rais popote pale alipo kuagiza wanaohusika kuwasilisha Bungeni kesho tarehe 8 Aprili 2019 katika kikao cha tano (ikiwa ni siku ya saba) ripoti zote alizokabidhiwa tarehe 28 Machi 2019 ikiwa ni sehemu ya kuheshimu katiba ya nchi aliyoapa kuilinda.

Rais asitumie kisingizio cha azimio la Bunge la tarehe 2 Aprili 2019 wakati ripoti alikabidhiwa kabla tarehe 28 Machi 2019. Rais asikubaliane na ufafanuzi wa Spika kuwa atapokea ripoti zilizosainiwa na mtu mwingine toka ofisi ya CAG sio Prof. Mussa Assad wakati ambao tayari ripoti alizopokea zilishasainiwa yeye kwa nafasi yake ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu aliyetajwa na ibara ya 143(4).

Katiba ya nchi imemtaka Rais kuwaagiza 'watu wanaohusika ' wawasilishe taarifa kwa niaba yake hivyo Bunge kuazimia kutokufanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad kusitumiwe na Rais kama kisingizio cha kukwepa wajibu wake wa kuwaagiza wanaohusika kuwasilisha taarifa Bungeni kwa mujibu wa ibara ya 143(4). Wananchi mkumbusheni Mh. John Magufuli popote pale alipo kwamba #RaiswasilisharipotiyaCAGBungeni .

Wenu katika uwakilishi wa wananchi,

John Mnyika (Mb)
Dodoma-Jumapili, 07/04/2019

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka hiyo taarifa ya CAG itakuwa imejaa madudu ya matumizi mabaya ya pesa za umma.

🐸🐸🐸🐸🙈🙈🙊🙉🐵🦋🦋🐜🐜🐞🐝🐝
 
Sioni rais akiitii katiba kwa kuwango hicho. Ngoja tuone hiyo kesho. Lakini yeye binafsi anaamini katika utashi wa rais na sio katiba. Kwake cha muhimu ni vyombo vya dola kuwa watiifu kwake, hayo mengine yaliyoko kwenye katiba atayatekeleza kwa mtazamo wake. Na ukipiga jicho la ndani ni kama vyombo vya dola vinaangalia rais anataka nini na sio katiba inasema nini. Ngoja tuone hiyo kesho.
Bahati mbaya sana wabaya hawa hawakuwa na plan B,waliamini kabisa kumtia msukosuko Cag ingetosha kumfanya ajiuzuru. Jamaa kakaza,hawajui wafanye nini na tarehe zimekata
 
Back
Top Bottom