Mbungeubungo wa ubungo kamanda John Mnyika aungana na wananchi waliokuja Katika mkutano uliofanyika Katika viwanja VyaKibaha maili moja Mara tu mkuranga ulipokwisha. Kwa ushuhuda cheki picha china
wewe ndie pambafu kumshambulia mtu anayepanda daladala na kuwaacha watu waoagiza mashangingi kila kukicha au wanaotumia mabilioni kununua ndege mbovu au wanaotumia mabilioni kununua rada za deal. kuhusu posho ulikuwa wapi wewe Gamba wakati chadema ilipokuwa ikidai posho zisizo za msingi zifutwe ?? lHuyo anazuga tu,hana lolote! Hapo mnashangaa nini,kaamua mwenyewe! Angeuza kabisa gari lake na aache kuchukua posho.Wanasiasa wa bongo ni mafisi tu,njaa inawasumbua!hawa wanafaa kupigwa mawe popote wapitapo,bungeni vita ya kijinga,vita ya matumbo yao na hawana lolote zaidi ya kujitafutia umaarufu.Eti ndani ya daladala, pambafu!
hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu.
nimeipenda hiyo lakini humo kwenye red nimecheka sana
pipooooooooooz:high5:
Wewe unataka akale wapi?? Posho ni haki yake anastahili Posho,,Hata vitabu vya dini vimesema asiyefanya kazi na asile.Kijana anapiga kazi mwache ale,Siyo kama wale Raia/Gambazzz wanalala tu BungeniHuyo anazuga tu,hana lolote! Hapo mnashangaa nini,kaamua mwenyewe! Angeuza kabisa gari lake na aache kuchukua posho.Wanasiasa wa bongo ni mafisi tu,njaa inawasumbua!hawa wanafaa kupigwa mawe popote wapitapo,bungeni vita ya kijinga,vita ya matumbo yao na hawana lolote zaidi ya kujitafutia umaarufu.Eti ndani ya daladala, pambafu!
hana lolote zaidi ya kutafuta umaarufu.