ZebraPlus
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 635
- 330
Uliona mkataba au bado unaota kama wenzio wa ufipa??
Ufipa au Lumumba???
Uliona mkataba au bado unaota kama wenzio wa ufipa??
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
mi sijuiKwa hiyo mchumba wake josefin ni Dellila?
ushahidi wa nini sasaWeka ushahidi hapa sio kuropoka tu.
Ni kweli mchango wa Dr si wa kitoto lakini ni ukweli pia ni mambo ya Samson na Delila
Dr slaa hana kosa mbowe ndiyo wa hovyo kauza chama kwa mafisadi papa.
Haka ka mnyika ni kadini sana, kaliropoka mwanza eti adui wao mkubwa ni zitto, lakini kana mtetea mkatoloki mwenzake, mwanzo kalikuwa kamesusa
Haka ka mnyika ni kadini sana, kaliropoka mwanza eti adui wao mkubwa ni zitto, lakini kana mtetea mkatoloki mwenzake, mwanzo kalikuwa kamesusa
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA