Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

ukosefu wa akili na ujinga wa wanaccm, eti leo wanamuona dr mihogo ndo mwenye busara kwakuwa kawafanyia kazi waliyomtuma lakin alipokuwa bado chadema walikuwa wakimtukuna kuwa babu asiye na akili: sasa leo wanampigia upatu eti anafaa lakini kwa wanamabadiliko dr mihogo ni mpuuuzi na filauni mkubwa mnafiki aliyekisri; kapokea za rweymam wa ikul ili aje anye mavi kwenye njia ya mabadiliko eti watu wasiweze kupita: tushasema LOWASSA NDO Rais wetu na tutampa kura nyingi sanaaa tu mpaka kufikisha 62% mtake msitake tutampigia kura za ok, na hatuhitaji aongee sana kama wezi waongeavyo kwa mda wa zaidi ya miaka 50 ya uhuni wa ccm. pombe akapalilie shamba lake huko chato; wanaccm jiandaeni kuchagua mwenyekit wenu mpya tuu au mkitaka muachen baba riz aendelee kuwaongoza mara baada kukabidhi ikulu kwa EL.
 
Back
Top Bottom