Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA. Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.

.nineipenda hii samsoni kwa Delia. Chezea sisi wewe.
 
Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA. Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.
Naomba ushaidi wa hayo maneno ya Usamson na Udelila .

Sidhani kama Mnyika anaweza kuwa mpuuzi kiasi hicho.!
 
asante kamanda mnyika kwa kuwa mkweli
asante sana jk kwa kujibu swali la tundu lisu hadharani kuhusu mr richmond..ni nani dr slaa ni icon.... ''kusema uongo ni dhambi''

Nenda nyumbani kwake ukamsaidie kuongea na shemeji yetu nasikia hataki kumuona slaa kwenye majukwaa ya siasa
 
Mh.Magufuli tunakukubali lakini upo *chooni*by dr.slaa
Na hicho choo kimejaa akina ndugu korofi Simiyu yetu na mkewe kim k..

#tutaendelea kuwepo popote ntakapokua..
 
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA

Ukawa ndio habari ya MUJNI
 
jaman Dr. slaa ni mzalendo na nchi yake.. na chama pia hakutaka kuwa mnafki mm nmpongeze kwa hilo
 
Wanaosema lowasa ni fisadi labda ni walio ingia tz jn ila ukiulizwa fisadi nyangumi ni kikwete na riziwani walioingia ikulu kwa baiskeli.lkn wametoka na viwanda lukuki bgmy,ndege,sheli za mafuta,hoteli na rasilimali zt za tz wamewauzia wachina na usa.....dr slaa angekuwa mtu wa maana asingenunuliwa km peremende hvy..
FISIEM HOVYO..UKAWA DAIMA

weka ushaidi sio kuropoka
 
Back
Top Bottom