Katuga hajui atajuaMsichokijua ni kwamba mimi ndio MNYIKA mwenyewe.
Naupiga mwingi kwenye viunga vya Mahakama hapa.
Katuga atajua hajui.
Nani asiejua wewe ni Mfwele chawa wa MuliroMsichokijua ni kwamba mimi ndio MNYIKA mwenyewe.
Naupiga mwingi kwenye viunga vya Mahakama hapa.
Katuga atajua hajui.
Hapana, anachojutia Samia ni kwanini aliamia kuwa mwema kwa mtu mshenzi, mdini na fedhuli?!!!! Hapo anajuta sana.Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .
Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.
Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Mkuu kama hii kesi majaji hawajajenga magorofa kwa hizi posho basi hawatajenga tena.Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .
Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.
Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Aisee.Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:
“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .
Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.
Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
So hapo Tundu Lissu anakiri kweli kuwa alikuwa anahamasisha uasi, ila dhidi ya mfumo kandamizi.....Je huo mfumo unapimwaje kuwa ni kandamizi? Maana ukienda Marekani Kuna wanaharakati wanaona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, ukienda China pia wapo wanaiona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, Urusi, Kenya, Rwanda, n.kMkuu kama hii kesi majaji hawajajenga magorofa kwa hizi posho basi hawatajenga tena.
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:
“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Fix hizi.Hapana, anachojutia Samia ni kwanini aliamia kuwa mwema kwa mtu mshenzi, mdini na fedhuli?!!!! Hapo anajuta sana.
Viva Mnyika Viva.Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:
“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Na hayo ndio malengo wanajuwa kabisa mtu ambae anaweza kupambania na mfumo wa selekali hii na akaaminika kwa sasa ni lisu pekee kwaiyo ni bora pesa ipotee muda upotee lakini lisu akae hukohuko ukonga ila watu wale hii nnchi bila kusumbuliwaMimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .
Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.
Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Tunakuuliza wewe sasa katika yote yaliotokea kwenye kesi hii na kwa mujibu wa sheria kuna uhaini?Nukuu za Nyerere:
Mahakama haipaswi kuamua kwamba kauli ni uhaini kwa sababu tu ina neno “rebellion/uasi”; lazima ithibitishwe kwamba matendo na nia ya mshtakiwa vinafikisha kiwango cha kosa la uhaini kinachotakiwa na sheria.