Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.
Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
Hata kama wizi ulitokea zamani,lakini myu kwa madaraka yake aliyonayo akasaidia kuzuia uchunguzi au kushiriki kuficha ushahidi wa wizi huo huyo naye ni mshirika kwa kula njama za kuficha ukweli wa wizi(ufisadi)huo.
Hii ni nafasi nzuri kwa Mnyika kusema yote ambayo yanajulikana kuhusu EPA. Na tunataka kama ushahidi wake kama utafichwa kama ule wa Lema basi yeye auweke mtandaoni wote tuuone.
Hongera Mnyika kwa kauli yako iliyokupa nafasi ya kuweka ukweli hadharani,pata msaada kutoka vyanzo mbalimbali kuweka habari hiyo kitaalamu na kiukweli zaidi.
zomba
Mimi nadhani Mwigulu Mchemba ndio mwenye tatizo la kisaikolojia manake nasikia akiwa mtoto alipenda kupumuliwa na wenzake huku akifurahia kwa maneno ya mwana JF aliyetuhabarisha mtu wa aina hiyo lazima awe mwehu ukimwona uso wake unaona anger na trauma aliyonayo anaimwagia sasa kwa Mnyika
Hatukushangai bila shaka wewe ni mfuasi wa chadema na kawaida ya vijana wa chadema na viongozi wao ni dharau,matusi,kejeli na ni waropokaji wasiokuwa na data sasa wataona kitakachomkuta Mnyika,namshauri Mh Nchemba usimuache huyu mtu akishindwa kuthibitisha achukuliwe atua kali ili kulinda heshima ya bunge na utulivu wa nchi yetu ujue hawa jamaa wamezidi kuropoka!
hivi huwa mnafaidi nini mnaposhabikia rushwa na ufisadi?Mzimu wa JK umeanza kumwandama
hakika umetumwa, kwa jinsi ulivyo anza, kama huna cha kutuambia ni ten times better ukakaa kimya,magamba mna hali ngumu, pole sana
Bunge letu kwa sasa limekuwa la hovyo sana. Na hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na upendeleo wa wazi unaofanywa na hao wanaokalia kiti cha spika cha kuwakandamiza wapinzani kiasi kwamba kimewafanya wapinzani kuwa na hasira wawapo bungeni. Nilimwona Lisu alivyokasirika pale aliponyimwa nafasi alipoomba mwongozo wa mwenyekiti/spika wakati Sugu alipotakiwa kuwataja Janjaweed. Nafikiri kuna umuhimu wa katiba mpya kutaka Spika kuwa mtu asiyekuwa na chama ili kutoa usawa kwa wabunge wa vyama vyote.
Huyu jamaa hana adabu ,tunaweza kusema ni mtovu wa nidhamu ,tokea siku ile alivyomwita Raisi kikwete dhaifu na wengine wazembe na juzi akawaita watu machizi nilimuonea huruma sana maana amekosa uadilifu na hana ujuzi wa kuzungumza kwa ufupi hana tofauti na vijana wa vijiweni au wazee wa migahawani.
Vipi utamwita Raisi wa nchi dhaifu tena kwa jina na wengine uwaite wazembe au machizi ndani ya kikao cha bunge ,yaani huyu jamaa anavyosema ni sawa na kelele za jibwa koko tena yule asie na kwao ,anabweka tu utafikiri amekoswakoswa na jiwe.
Kuna haja ya wenziwe kumshauri na asifikirie watu wote wanamtakia wema hata wenziwe wanaweza kuwa na choyo nae na kumwacha akizama katika ujinga.
ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
Economist first class.Ebu tufahamishe Nchemba alikuwa na cheo gani hapo BoT wakati wa sakata la EPA?
ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
ccm walio wengi wanastres za kukosa vit 2015 (kijana anashabikia ccm akizeeka atakuwa mchawi by jembe benedict)
Ebu tufahamishe Nchemba alikuwa na cheo gani hapo BoT wakati wa sakata la EPA?
Mnyika ni mtu makini sana, hawezi kukurupuka na kusema bila kuwa na vielelezo; ngojeni athibitishe halafu nyie magamba mfiche ushahidi kama mlivyofanya kwa Lema!! Chadema NOMA hawawezekani!!