Mnyika ahofia chaguzi kununuliwa na Matajiri endapo gharama za Uchaguzi zitabebwa na Mgombea pekee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,990
142,007

Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema tukiruhusu gharama za Uchaguzi zibebwe na mgombea peke yake basi Matajiri wenye fedha watanunua uongozi.

Tena Watu Wenye Fedha na Marafiki zao ndio watakaotawala milele, amelalamika Mnyika.

Source: The Chanzo
 
Tunaambiwa na Erythrocyte, Sugu na Mbowe ni Mabilionea.

Itoshe yeye mwenyewe Erythrocyte anadai na yeye ni Billionea na ameajiri wafanyakazi viwandani.

Kwa hiyo Mnyika anasema , Mbowe, Sugu na Erythrocyte wana weza kununua uchaguzi na kututawala milele?
 
friends,
elections is very expensive and that is the nature...

huwez kwepa hiyo maneno aise....
 
Tunaambiwa na Erythrocyte, Sugu na Mbowe ni Mabilionea.

Itoshe yeye mwenyewe Erythrocyte anadai na yeye ni Billionea na ameajiri wafanyakazi viwandani.

Kwa hiyo Mnyika anasema , Mbowe, Sugu na Erythrocyte wana weza kununua uchaguzi na kututawala milele?
Bilionea gani ,kule tra haainyeshi kama analipa kodi inayozidi milioni hamsini kwa mwaka?
 
:rolleyes:Bilionea gani ,kule tra haainyeshi kama analipa kodi inayozidi milioni hamsini kwa mwaka?
Ndio Erythrocyte anavyosema. Kwamba hawa marafiki zake sijui, wafanyabiashara wenzake ama wanachama wenzake wa CHADEMA kuwa ni mabilionea.

Yaani akianzisha uzi tu kuhusu hawa, huwa anasema Bilionea so and so. Billionea Sugu au Billionea Mbowe.

Sasa tunavoelewa au tunaeza tafsiri aliyoyasema Mnyika kwamba "Matajiri" ambao ndio "Mabillionea" wana uwezo wa Kununua Uchaguzi. Ikiwa in maana Mbowe et al wanaeza kununua Uchaguzi?

Hii ndio Tanzania tunayotaka? Wafanya biashara wakubwa kununua Uchaguzi?

Tunajua hata Mkapa alitamani kuwa Billionea akasepa na Milioni kadhaa kwa ajili ya kukidhamini chama chake kishinde Uchaguzi. Walishinda!

Hapa najiuliza, kwanini atumie(aibe, ang'amue, anyofoe,etc etc) yale mahela yote kama sio kwamba kuna opposing force yenye mahela kama hayo?...
===
-Haya mambo yameanza leo? Kwanini Mnyika aibue haya leo? post #3
===

...Yaani lazima Mkapa aliona competition.

Yakujiuliza tena, Wakati ule CHADEMA ama Vyama vya Siasa mbadala walikuwa na kitita cha kiasi gani kumpeleka Mkapa kukopa:rolleyes: mabilioni yote yale? au alikuwa akimuogopa bwana Mapesa? Anyways ni ya kutafakari.

Na Safari hii je? Je, tunaweza kusema CHADEMA inanunulika na mabeberu?

Mkuu umeibua hoja, nadhani kabla ya hawa Viongozi "Wakuu" kuanza mchakato wa kuwania Uraisi....waonyeshe nyaraka/rekodi zao za ulipaji kodi.

Kitaeleweka
 
Si wanasema wao hupata kura bila hela
Ndii yale yale yakufanywa 'mazuzu'

Mnyika anatak kutuambia kwamba alikuwa hajui hayo? Kwamba CCM ilikuwa hainunui Kofia na Tsheti au CHADEMA wanagawa jezi na magwanda, kofia na Tsheti?

Waliokota hizo bidhaa?

Au ndio kusema wasiwasi ni wa 2025 tu? CHADEMA inqyo mabilonea kibao, wanunue tu kama sasa imekuwa ni biashara.
 
Hujapata concept ya kuwa tajiri ndiye atakayeshinda uchaguzi!!?
Tajiri anaweza kuweka mawakala kila kituo na kuwalipa.
Kwa hilo tuu,huoni kuwa ni rahisi kwa tajiri kupita kwenye tundu la sindano.
Ndio Erythrocyte anavyosema. Kwamba hawa marafiki zake sijui, wafanyabiashara wenzake ama wanachama wenzake wa CHADEMA kuwa ni mabilionea.

Yaani akianzisha uzi tu kuhusu hawa, huwa anasema Bilionea so and so. Billionea Sugu au Billionea Mbowe.

Sasa tunavoelewa au tunaeza tafsiri aliyoyasema Mnyika kwamba "Matajiri" ambao ndio "Mabillionea" wana uwezo wa Kununua Uchaguzi. Ikiwa in maana Mbowe et al wanaeza kununua Uchaguzi?

Hii ndio Tanzania tunayotaka? Wafanya biashara wakubwa kununua Uchaguzi?

Tunajua hata Mkapa alitamani kuwa Billionea akasepa na Milioni kadhaa kwa ajili ya kukidhamini chama chake kishinde Uchaguzi. Walishinda!

Hapa najiuliza, kwanini atumie(aibe, ang'amue, anyofoe,etc etc) yale mahela yote kama sio kwamba kuna opposing force yenye mahela kama hayo?...
===
-Haya mambo yameanza leo? Kwanini Mnyika aibue haya leo? post #3
===

...Yaani lazima Mkapa aliona competition.

Yakujiuliza tena, Wakati ule CHADEMA ama Vyama vya Siasa mbadala walikuwa na kitita cha kiasi gani kumpeleka Mkapa kukopa:rolleyes: mabilioni yote yale? au alikuwa akimuogopa bwana Mapesa? Anyways ni ya kutafakari.

Na Safari hii je? Je, tunaweza kusema CHADEMA inanunulika na mabeberu?

Mkuu umeibua hoja, nadhani kabla ya hawa Viongozi "Wakuu" kuanza mchakato wa kuwania Uraisi....waonyeshe nyaraka/rekodi zao za ulipaji kodi.

Kitaeleweka
 
Ndio Erythrocyte anavyosema. Kwamba hawa marafiki zake sijui, wafanyabiashara wenzake ama wanachama wenzake wa CHADEMA kuwa ni mabilionea.

Yaani akianzisha uzi tu kuhusu hawa, huwa anasema Bilionea so and so. Billionea Sugu au Billionea Mbowe.

Sasa tunavoelewa au tunaeza tafsiri aliyoyasema Mnyika kwamba "Matajiri" ambao ndio "Mabillionea" wana uwezo wa Kununua Uchaguzi. Ikiwa in maana Mbowe et al wanaeza kununua Uchaguzi?

Hii ndio Tanzania tunayotaka? Wafanya biashara wakubwa kununua Uchaguzi?

Tunajua hata Mkapa alitamani kuwa Billionea akasepa na Milioni kadhaa kwa ajili ya kukidhamini chama chake kishinde Uchaguzi. Walishinda!

Hapa najiuliza, kwanini atumie(aibe, ang'amue, anyofoe,etc etc) yale mahela yote kama sio kwamba kuna opposing force yenye mahela kama hayo?...
===
-Haya mambo yameanza leo? Kwanini Mnyika aibue haya leo? post #3
===

...Yaani lazima Mkapa aliona competition.

Yakujiuliza tena, Wakati ule CHADEMA ama Vyama vya Siasa mbadala walikuwa na kitita cha kiasi gani kumpeleka Mkapa kukopa:rolleyes: mabilioni yote yale? au alikuwa akimuogopa bwana Mapesa? Anyways ni ya kutafakari.

Na Safari hii je? Je, tunaweza kusema CHADEMA inanunulika na mabeberu?

Mkuu umeibua hoja, nadhani kabla ya hawa Viongozi "Wakuu" kuanza mchakato wa kuwania Uraisi....waonyeshe nyaraka/rekodi zao za ulipaji kodi.
Nani sasa Sugu au Mbowe?
Ndugu kwani Una account zao za Fedha..?
Taarifa za walipa kodi wakubwa sio kificho pale TRA mzee.
 
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema tukiruhusu gharama za Uchaguzi zibebwe na mgombea peke yake basi Matajiri wenye fedha watanunua uongozi.

Tena Watu Wenye Fedha na Marafiki zao ndio watakaotawala milele, amelalamika Mnyika.

Source: The Chanzo
Wameanza kumkumbuka Lowasa aliyewapa pesa wagombea wote na chama wa Chadema

Safari hii kila mgombea atabeba fukushi lake Chadema sana sana Mbowe atataka wao ndio wakipe chama hela na kasema anataka kuweka mgombea kila eneo keshapuga hesabu za pesa za fomu za ugombea atakazouza na michango atakayowalazimisha wachangie
 
Hujapata concept ya kuwa tajiri ndiye atakayeshinda uchaguzi!!?
Tajiri anaweza kuweka mawakala kila kituo na kuwalipa.
Kwa hilo tuu,huoni kuwa ni rahisi kwa tajiri kupita kwenye tundu la sindano.
Mawakala huwekwa na vyama sio mgombea
 
Ndiyo sababu Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu wa CDM?
Chadema walikuwa na mabilionea wawili tu wagawa pesa kwa wagombea mzee Ndesamburo na Lowasa wote maremma

Bilionea Mbowe pesa anayo ila hatoi anataka ziwe zinaingia kwake tu

Mnyika ndio maana kaanza kutungua kilio kuwa itakuwaje sasa kwa wao akina yakhe wanaotaka kugombea ak8wemo yeye na Lofa mwingine Tundu Lisu
 
Back
Top Bottom