Mnyange ndio mtu wa namna gani?
Mnyange ndio mtu wa namna gani?
Hivi batabara ya kwenda kwenu imeshatngenezwabkwa kiwango cha changarawe? Nakumbuka ilikuwa ipo kwa kiwango cha matope.Kaka mlimbwede huyo au mrembo mzee.
Hivi batabara ya kwenda kwenu imeshatngenezwabkwa kiwango cha changarawe? Nakumbuka ilikuwa ipo kwa kiwango cha matope.
Nauliza tu mkuu.

Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini amejifanyia shughuli hiyo ili kuondoa GUNDU.
hilo jina la mnyange linaniboa mpaka basi..
sijui limetoka wapi?
mrembo au mlimbwende ndo inafaa
mnyange utesema mke wa mganga hivi.....