Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

Oloronyo

Member
Mar 29, 2009
80
9
Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini amejifanyia shughuli hiyo ili kuondoa GUNDU.
 
Du, yaani Shingongo kahamia hadi hapa JF. Hongera homeboy Erick.

UDAKUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU...............................................
 
hilo jina la mnyange linaniboa mpaka basi..
sijui limetoka wapi?
mrembo au mlimbwende ndo inafaa
mnyange utesema mke wa mganga hivi.....
 
..........Ndio nani huyo hapa bongo?Anahusika vipi na jamii forums!!
 
chuki binafsi
wengine tumeachana nazo toka
valentine'
achana nayo hayo mkuu
 
Hivi batabara ya kwenda kwenu imeshatngenezwabkwa kiwango cha changarawe? Nakumbuka ilikuwa ipo kwa kiwango cha matope.

Nauliza tu mkuu.

Ila mi umeniacha kwenye mataa kabla ya kufika kule kwenye matope, sijakupata mkulu hapo?
 
Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini amejifanyia shughuli hiyo ili kuondoa GUNDU.

so hii nayo ni breaking news!!!

saigurani una matatizo wewe, unapenda sana personal matters and i doubt if those you always talk about wanakujali

umbeya ni type ya psychosis
 
hilo jina la mnyange linaniboa mpaka basi..
sijui limetoka wapi?
mrembo au mlimbwende ndo inafaa
mnyange utesema mke wa mganga hivi.....

Kule kwetu kuna Ndege fulani hivi ni weupe hupatikana sana maeneo yenye majimaji, wanaitwa "NYANGENYANGE" Kila ninaposikia hili jina fikra na mawazo yangu hukimbilia kwa hawa ndege. Huenda walianzisha jina hili walitaka kuwafananisha hawa warembo na ndege huyu ambaye japo hupita kwenye matope na kula wadudu lakini ni ndege ni weupe na sana au ni nadhifu kwa nje.
 
Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini amejifanyia shughuli hiyo ili kuondoa GUNDU.

weka basi picha zake za sasa na zile za enzi ya mwalimu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom