Mnyama wa taifa ndio nani jamani?

Mbona kama yuko matesoni vile?
Halafu huyu kule kwetu uchaggani tunamwita mbuzi wa mila.
Huyu hachinjwi hivi hivi hadi achinjwe na mzee wa mila
Naona umeamua kutumia tafsida.Mie najua huku mgombani tunamwita Mbuzi katoliki.
Siku anayochinjwa huwa tunaletewa tangazo pale kanisani kwetu kwamba,"mzee mfuru leo kachinja, wote mnakaribishwa"
 
sasaaa huyu ni ndafu-nguruwe au?? natamani harusi yangu awepo ndafu-nguruwe, mtaalamu wa kuchoma ajitokeze tafadhali
 
Mbona kama yuko matesoni vile?
Halafu huyu kule kwetu uchaggani tunamwita mbuzi wa mila.
Huyu hachinjwi hivi hivi hadi achinjwe na mzee wa mila
Mkuu Bujibuji inaonekana huko kwenu mnamsamini sana huyu mdudu!
 
Last edited by a moderator:
Naona umeamua kutumia tafsida.Mie najua huku mgombani tunamwita Mbuzi katoliki.
Siku anayochinjwa huwa tunaletewa tangazo pale kanisani kwetu kwamba,"mzee mfuru leo kachinja, wote mnakaribishwa"
Duh!utaratibu mnaotumia kupashana habari ni wa kibaguzi!

Mkuu,kitu kizuri kula na nduguyo!
 
Duh!utaratibu mnaotumia kupashana habari ni wa kibaguzi!

Mkuu,kitu kizuri kula na nduguyo!
ukitangaza hadharani yatatokea ya geita.
ndiyo maana hausikii vurugu za kidini huku mgombani.tunaheshimiana sana.
 
Mkuu mnawanyima habari baadhi ya watu wa pande ya pili,huwa wanatumia hii kitu!
Washirika huwa wana njia nyingine ya kupata habari!
Tukikutana kwenye mbege tunaambiana.
Nyama nyingine italetwa kwenye mbege.
si unajua kule mbege tunakunywa 24 hours huku tunapiga nyimbo za kumsifu bwana???
 
Sawa mkuu kama huwa mnawatendea haki,lakini umesahau kuna baadhi yao huwa hawanywi mbege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…