Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha JamiiForums inanipa raha sana kwa comments kama hiziKitu nampendea mnyama huyo ni ulaji wake. Yaani vile vitu katika Hali ya kawaida siwezi Kula huku vikiwa Na vitamini Na madini hitajika mwilini, mnyama huyu anavila kisha anavikonveti kuwa nyama yake Na mie nafaudu vitamini, madini Na utamu kupitia nyama yake.
Wacha watu wakatazane Kula ili mnyama asiwe adimu. Allahu Akbar Mungu Mkubwa katuletea mnyama
Hakuna nyama isiyokuwa na madhara...
Lakini Usisahau kuwa , nguruwe ana nyama nyeupe iliyo na madhara kidogo kuliko hata ng'ombe ambae ana nyama nyekundu...hata ukiwa na gaut , waweza kumla
Hivi kuna nyama gani tamu kama hii kwa maana hata kuku hagusi !!!!!!!........
Nayaheshimu mawazo ya wasiokula na hata nikiwa home ; siwezi kuinunua kama kuna mtu asieitumia
Nipe sababu isiyo ya kiimaniYaani huyu mnyama sijui hata nyama yake ikoje, sifikiri hata kumkaribia tu.
Nani anakula nguruwe wewe? watu wanakula kiti moto we unasema nguruwe.?Acha kula nguruwe wewe...
Acha kula ngurueUnasemaaaa?
Hivi naanzaje kuacha kula kitimoto? Natamani nikifika mbinguni nikute kuna venues za kula hiyo kitu adhimuHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha JamiiForums inanipa raha sana kwa comments kama hizi
Huo utafiti utakuwa umefanyika sauddia au kabulView attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Hahahah, uwa kuna wanoko nin.....?Kwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
View attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Jamaa wakishaonja hii tamu ya kitimoto wanashindwa kabisa kuiacha. Eeeh wanakula tu na ninasema wale tu maana hakuna namna.Hahahah, uwa kuna wanoko nin.....?
Sasa wakiona...?Jamaa wakishaonja hii tamu ya kitimoto wanashindwa kabisa kuiacha. Eeeh wanakula tu na ninasema wale tu maana hakuna namna.
Sasa wakionwa...?Sasa wakiona...?