Mnyama wa taifa la Bongo

hapana mkuu, unamjua kamongo???

Kama kwa sura kuna wanyama wameumbika vibaya aisee.
 
Hebu kumsifia sana....walaji wataongezeka halaf watatupandishia bei. Pigeni kimya....
 

Acha wivu wa kike nguruwe ataliwa tuu kama vip pita hivi......
 
mnasema tuache kula halafu jion tunawakuta mnakula hebu achen unafiki
 
Namshukuru Mungu kwa kuumba mnyama mwenye ladha maridhawa kama nguruwe. Mungu ashukuriwe kwa zawadi hii mwanana ya kitimoto
aisee ushkuriwe uumbaji aisee,mnyama mtamu yule hatari
 
Hakuna nyama isiyokuwa na madhara...

Lakini Usisahau kuwa , nguruwe ana nyama nyeupe iliyo na madhara kidogo kuliko hata ng'ombe ambae ana nyama nyekundu...hata ukiwa na gaut , waweza kumla

Hivi kuna nyama gani tamu kama hii kwa maana hata kuku hagusi !!!!!!!........

Nayaheshimu mawazo ya wasiokula na hata nikiwa home ; siwezi kuinunua kama kuna mtu asieitumia
 
faida nyengine kwa mnyama huyu, jini hakanyagi alipo. beba mfupa wake upite kwa kambi ya majini ndo utajua kwel au la, so wanaofuga majini huwa ndo kama hvo kumponda huyu mnyama, mbona hamwach kuzin, kuiba hata kuua? kitimoto ndo dhambi kubwa et, hatuach kukumla!!
 
Acha wivu wa kike nguruwe ataliwa tuu kama vip pita hivi......
Sijakukataza kula huyo ndudu we kula tu kwa uroho wako,mnyama anakula hadi nyoka we unaelewa nini?jiongeze nyumbu wewe
 
mimi na nguruwe, nguruwe na mimi, naahidi sitaacha kutumia nyama yako tamu, laini, mafuta yako hayagandi mwilini, ladhwa haswaaaaaaaaaaa
 
Mkuu Mzizi acha utani hao bacteria wanashabulia fasta kitimoto sababu ya utamu wake....we ulikuwa hujui hilo? Halafu huko uliko lazima utakuwa ushakula hii kitu kwa bahati mbaya sema hutaki kukubali...adumu mnyama wa taifa la bongo!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…