Mnyama hatari aonekana Zanzibar, maafa tupu leo

Mnyama hatari aonekana Zanzibar, maafa tupu leo

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
1421151421016.jpg
Kupambana na mtibwa leo

[h=1]
attachment.php
[/h]
 
Cha kwanza nilimuwaza mwanangu, kanusurika kweli, nikawaza mnyama huyo katokea baharini au nchi kavu? Ndudu au chwaka? !!! Kumbe kinyago cha mtani jembe anacheza na somo yake!!, mkuu mtatuua kwa presha
 
Haiwezekani! Umeona huyo mtani hapo siku ya mtani jembe alivyofanywa mpaka akalia na kuzimia ovyo!

Manjano wao walikua wanashinda, 4, 4, wakaona wao ndo wao, full misifa na kelele kwenye magazeti, sasa SIMBA ni mnyama hatari, anajua mbinu za kuwinda, mdogo mdogo, huyooooooo.. ngoja tujichukulie kandoo hako, alafu tuwarudie huko VPL..... inaitwaga "kitorondo"
 
Cha kwanza nilimuwaza mwanangu, kanusurika kweli, nikawaza mnyama huyo katokea baharini au nchi kavu? Ndudu au chwaka? !!! Kumbe kinyago cha mtani jembe anacheza na somo yake!!, mkuu mtatuua kwa presha

Mwanao yupo Zanzibar! Pole sana!
 
Back
Top Bottom