Mnunuzi wa Nyumba au Kiwanja jihadhari, Serikali za Mitaa hawaruhusiwi kusimamia mikataba kisheria

Watu wanaenda serikali za mitaa sababu ya kuamini kwamba ndo watu either watakuwa wanalifahamu zaidi eneo husika au mtu husika ndo wakazi wa kuaminika au taasisi inayoaminika katika ngazi ya mtaani huko, otherwise kwa watu wanajuana sana hata serikali za mtaa hawaendi, wanatafuta mashahidi tu.

Pia nafikiri kuweka shahidi baki tu. Bora hata ukaweka serikali ya mtaa sababu unakuta unaenda kununua eneo sehemu ambayo hujui mtu ni wewe na dalali wako na anaekuuzia.
 
Back
Top Bottom