Mnogeshe umpendae na "mmmuhumba"

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Naitwa martin michael muhumba a.k.a mmmuhumba. Ni mwandishi mjasiriamali wa tawasifu, makala za mahusiano, mtunzi wa ujumbe kwa mpenzi (love sms), mshauri wa mahusiano na mtoa elimu ya mahusiano.
Pia ni mwandishi wa simulizi na mtunzi wa nyimbo.
Media yangu kufanya kazi ni gazeti la Mwangaza, Heshima kwa watu wote na wapenzi wa love sms (yale maneno matamu ya mahaba).
Karibu
Kuwasiliana nami na kuona kazi zangu ni wewe tu popote mtandaoni andika " mmmuhumba".
#imarika
View attachment 2519447
 
Toa mfano wa hio love sms unakuja bila kisa mafunzo unamaanisha nini j
 
Sawa Ndugu Wadiz, nimekuwekea kwenye hiyo picha , hayo maneno ni love sms, ila mtu anapohitaji ananitext au kupiga simu nitampa orodha atachagua kama
love sms za lengo gan
1. Kusifia
2. Kuaminisha
3. Kubembeleza
4. Kutongoza
5. Kufungua hisia
6. Msamaha
7. Nk?
Utachagua, nitakupa gharama, utalipia na nitakuhudumia kwa sms za kawaida, kazi yako inakuwa ni kufoward.
Soma hizo picha vizuri
textgram_1676350756.jpg
textgram_1675412651.jpg
20230203_095146.jpg
IMG_20230209_094944_819.jpg
textgram_1675917556.jpg
 
Hiyo ni moja ya makala kwenye gazeti, hiyo page makala zote ni zangu na utaona namba yangu ya hapo.
Kwahiyo kwasasa usipate tabu kupoteza muda mtandaoni kusaka maneno matmu ya mapenzi, wewe kuwa tu na namba yangu.
Wale wa simulizi nao karibu na wale wasanii wanapenda script na wasanii wa kuomba nao pia utunza wa nyimbo nawakaribisha.
20230205_010604.jpg
20220204_202643.jpg
IMG_20230210_113133_180.jpg
IMG-20220411-WA0002.jpg
IMG-20220411-WA0001.jpg
IMG-20220411-WA0003.jpg
 
Sawa Ndugu Wadiz, nimekuwekea kwenye hiyo picha , hayo maneno ni love sms, ila mtu anapohitaji ananitext au kupiga simu nitampa orodha atachagua kama
love sms za lengo gan
1. Kusifia
2. Kuaminisha
3. Kubembeleza
4. Kutongoza
5. Kufungua hisia
6. Msamaha
7. Nk?
Utachagua, nitakupa gharama, utalipia na nitakuhudumia kwa sms za kawaida, kazi yako inakuwa ni kufoward.
Soma hizo picha vizuri View attachment 2519749View attachment 2519754View attachment 2519756View attachment 2519757View attachment 2519758
Poa....
 
ninyi ndiyo mkioa, kidogo tu mnajiua au kuua wake zenu kwa sababu mnaishi kwenye ndoto za kufikirika kuhusu wanawake.
 
Usingezaliwa Utingo, wanawake na wanaume ni viumbe wanaotegemeana . Changamoto za mahusiano ni kama changamoto zako za utafutaji wa riziki, kukomazwa ni utayari wako.
Ogopa kuwa na mawazo finyu juu ya watu.
Umezaliwa kwenye mapenzi na utakufa kwenye mapenzi ya dunia na utazikwa na wenye mapenzi nawe.
Tujifunze kuwafunza watu kuwa na ustawi bora wa mahusiano na siyo kuwashutumu haisaidii.

View attachment 2523884
 
Keep dreaming!

Ni wazi huwajui wanawake wewe, inawezekana utoto bado unakusumbua au unaishi kwenye ndoto za kufikirika, au unadhani story za mapenzi (fictions) unazosoma kwenye vitabu ni halisia au ndiyo umebalehe umeanza mapenzi.

Nimekupa angalizo, siku ukitendwa uwe makini usije ukatenda jinai
 
Sawa mkuu. Ila sipo katika hilo rika unalolifikiria nipo Utingo. Ninao udhoefu wa chungu na tamu za mapenzi. Kwahiyo, unapomshauri mtu usiwe negativity, hakuna anayetafuta mapenzi kuteseka. Mfundishe kuyajua ya msingi kuyatenda km wajibu, hayo ya kutendwa ni matokeo Mkuu, mzee hakuna mwenye hadubini mwachoni kuwa huyu atonitenda au huyu ni sahihi.
Tunapaswa kuyaishi na kuombea chombo kisafiri salama.
Tafakari kwanin kulikuwa JANDO NA UNYAGO zaman! Na kwanini tunataman elimu ya mahusiano itolewe shuleni!

Asante na karibu tubadilishane mawazo ila usitishe bhna watu.
Wanawake nao wanasema hivyo hivyo kuwa huwajui wanaume ni wabaya.
Ukipenda njoo inbox tunaweza shea personal experience. Maisha ya mapenzi ni pande mbil za shiling, wewe unalia huku wenzio wanasherekea.
 
Ahsante kwa taarifa...
Asante ndugu yangu Smart911, japo nimekaribisha vibaya na ndugu utingo, anataka niyaogope mapenzi jamaani.
Wakat naanza kufanya kazi za ushauri, watu wangu wa kwanza, mmoja alikuwa ni raia nchi moja ya East africa ila anafanya kaz Asia, alisema " ...kaka navyompenda huyu ukisikia mtu yuko tayari kufa... mimi nitakufa" kwanza nilitetemeka, nikasema eeh Mungu nisaidie nifanikiwe.
Nilitoa hofu nikamjenga na nikawa nawasiliana na mtu wake kupitia yeye, wamevurutana mpaka ikawa amani.
Huwa naona post zake yuko so happy na wanaishi mbali.
Ni kuishi tu mengine yakija ytajulikana.
 
Back
Top Bottom