Mnisameheee

Mnisameheee

Natamani kila anayepost hapa angekuwa anaonekana. Mnisamehe
 
Natamani mabomba yote ya maji yangetoa bia, mnisameheeeee...
 
natamani wanaume wote wafe nibaki mi mwenyewe na mademu wote mnisamehee.
 
Back
Top Bottom