MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
Samahani kwa wadau wote walio husika kipengele hicho kwa upande wangu nilikuwa sijui bwana kama kipo kipengele hicho leo ndio nakiona.
Kwahiyo umegundua PM ni nini?Na umegundua lini?na baada ya kuligundua ulijisikiaje?na sasa unajisikiaje?na nini ushauri wako kwa wana JF?samahani kwa wadau wote walio husika kipengele hicho kwa upande wangu nilikuwa sijui bwana kama kipo leo ndio nakiona.
Kwahiyo umegundua PM ni nini?Na umegundua lini?na baada ya kuligundua ulijisikiaje?na sasa unajisikiaje?na nini ushauri wako kwa wana JF?
Cc Moderator
utasamehewa kwa kutojua..lakini hutosamehewa kwa kuianzishia hii thread....
Hongera kwakupiga hatua aisee.
Mkuu nimegundua leo. ni private messages, nimejisikia vibaya kwa sababu kuna watu walinitumia meseji sijajibu tangu january....sasa najisikia vizuri nimewajibu. Ushauri kwa wana jf....wawe wanasoma/kupitia maelelzo vizuri ya kitu fulani wasije wakakosa mambo mazuri hata maishani kwa kuwa juu juu kama nilivyojiunga mimi jf juu juu.
duh ...nadelete wapi ndugu niifute?