Mnisaidie kuhusu hivi vifaa vya ku fkashia simu za nokia

josephjul40

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
218
40
Habari za humu wana jamii forum? Naomba mnieleweshe ni vifaa vipi vinavyohitajika ili kuweza ku flash simu za Nokia. Nasikia tu kuwa sijui kuna box, sasa hilo box ni kitu gani? Na je vifaa hivyo au hilo box la Nokia liaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Asanteni!!!
 
Nina hitaji kununua hivyo vifaa ili nianze kazi katika kibanda changu kazi ya kuflash simu hizo za Nokia, hivyo naomba mnieleweshe vizuri wenzangu mnaojua vifaa hivyo
 
Uza mihogo. Siyo kila sekta unaweza kuifanya kimachingamachinga. Nyie ndiyo mnaaribu simu za watu kwa kujitia ni wataalamu kumbe umeelekezwa kwa mdomo na mtu basics tu.
 
acha hizo wewe .. mimi ni it technician by proffesional (computer hardware and software) so nahitaji kufanya na hiyo dili pia. Nashangaa wewe una maind kiasi hicho... toa ushauri na siyo ku mdiscourage mtu hapa!
 
IT technician by proffesional....!!! Inaonekana we ni kilaza, swala unalouliza na qualification uliyonayo haviendani kabisa. Kama wewe ni proffesiona hili unaloita dili halikufai do proffesional things..I am sorry!!!
 
Unataka kumdanganya nani? Kalime mhogo au maharagwe, kama hauwezi kujua hayo madogo sasa makubwa utaweza?
 
Habari za humu wana jamii forum? Naomba mnieleweshe ni vifaa vipi vinavyohitajika ili kuweza ku flash simu za Nokia. Nasikia tu kuwa sijui kuna box, sasa hilo box ni kitu gani? Na je vifaa hivyo au hilo box la Nokia liaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Asanteni!!!

use NSU tho iko risky au try kuingia navifirm.com kudownload hz software au gsmhosting.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom