Mnisaidie jamani tafadhali

Mnisaidie jamani tafadhali

Dada mi nilitarajia ushauri mzuri,lakin mbona tunakua hivi? Plz mi niko serious,help me

umesema pesa si tatizo!!! me ndo zawadi nayoona ya maana kwa sababu itajizungusha na kuzalisha mara mia moja...... okey basi kwa kuwa we unataka zawadi za kawaida basi mnunulie nguo, simu au pochi.....
 
hii ndo siku nzuri ya kumvalisha engagement ring! au pia huna pesa ya kununua hiyo ring? ukifanya hivyo atapagawaje?
 
nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie

ngoja wakusaidie kumchagulia na watakusaidia na mengine
 
three-stones-engagement-ring.jpg

marriage-proposal.jpg

Nimeipenda hio white gold!!lakini nimependa hii zaidi....
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    31.3 KB · Views: 32
Buy her a nice gold watch kama yeye ni brown (mweupe) kama maji ya kunde/mweusi silver is prefered.

nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie
 
Kama mkristo mpelekee bible na kitu kingine chochote. Kama, account ya benki ambayo ina matawi na atm chache sana. Itawasaidia kusave kwa maendeleo mtakapoanza maisha.
 
mh! pesa si tataizo???????
heri yako ww, hope utakuwa unafahamu anapendelea vitu gani; nenda kile bora ktk prefernces zake unazozifahamu; ataifurahia sana.
 
We c unajifanya una pesa,mnunulie helcopter bac.
 
Bible alishapewa zawadi alipopata kipaimara ama kubatizwa (kama ni mpentekoste ama msabato). Hebu acha kumbania mchuchu wa mwenzio banaa.
Kama mkristo mpelekee bible na kitu kingine chochote. Kama, account ya benki ambayo ina matawi na atm chache sana. Itawasaidia kusave kwa maendeleo mtakapoanza maisha.
 
km kweli unampenda basi huo ni muda muafaka wa kupropose......akikubali basi tena twaja kula ubwabwa...
 
Mualike Diamond amkatikie mauno kwenye sherehe yake ya graduu...!!! Special for her. She will never forget that.
 
Back
Top Bottom