Mnipokee kwa mikono miwili!

Mnipokee kwa mikono miwili!

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
1,624
Reaction score
501
Habari wana wa mapenzi, mahusiano na urafiki(mamau). Napenda kujitambulisha kwenu kama memba mpya wa haka kautamu. Nimekuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa jf lakini sikuwahi kujiunga na ukurasa huu. Naahidi kutoa ushikirikiano kwa members wote humu. Naamini hakuna udini humu wala usiasa. Nina mengi yanayonisibu hivyo mkisha nikubalia nitayamwaga aisee.
 
MMU ndo yenye memba wengi eh?
Mi hata sijijui ni memba wa jukwaa gani.
Nishawishini niingie jukwaa lipi kama memba.
 
Karibu sana Mkuu! Masharti na vigezo kuzingatiwa!
 
welcome ila we jinsi gani mana nina special offer for you.
 
Karibu jakubumba,ila upo uchiuchi mbona!! NA WW NI YUPI KATI YA HAO??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom