Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Moja ya watu ninao waheshimu na kuwasoma humu ndani ni pamoja na wewe Dada...Una moyo wa kipekee sana wa kutaka wengine wasogee pale walipo!
Unaandikaga facts. Usiache kutuelimisha wadogo zako....Barikiwa sana Mamy😍
Awww...!tubarikiwe wote Happy!
Ila had naandika hapa nimemsaidia dogo mmoja kias kwamba najiuliza hivi ni Mimi?..kifupi dogo nilimuokota tu majalalani😆😆( maana had mwenzangu akanianbia we hutaendelea unaamini mno watu)! Nikamchorea ramani(hapo hata jina lake silijui na hanijui(amepostpone mwaka udom)akanipitishia sabuni za magadi nikamuuliza anaipataje faida ananiambia hela ndogo balaa nikamwambia acha hiyo fanya ishu hii na hii...kumbe dogo kanielewa kuliko Mimi nilivyompa ramani..yaan mie nilimpa idea yangu juu juu nikijua mpitaji...maskini Yule mtoto kwa siku anaingiza faida ya 20000/-..Jana ananipgia ananiambia sisy nimekuza mtaji nna laki 9!(alianza kwenye corona crisis)..ninaona aibu.. nnaona Raha pia. Alinunua bike ndani ya mwezi mmoja tu🤧🤧!.
Huyu acha nijivunie aisee!
Again thanks💕
 
You see! Na namna hiyo baraka hazitakuacha Jivunie Mama, na usikate tamaa kuwasaidia pale unapoweza! 😘😘🙏🙏
 
Dada manengelo wewe ni wa kipekee sana,huwa natamani nikuone siku moja unafananaje.lakini wasukuma sisi tuna roho nzuri.ipo siku ntakutafuta.


Albert msukuma??hahahha....hahhaa ..tutafutane Mungu akijalia uzima
 
Ni jina tu wakati najisajiri google zamani nilijikuta naandika alu kwenye first name,bati kwenye last name,wala sina uhusiano na hilo jina, jina langu halisi ni M * yu*ga nadhani utakuwa umeelewa yale majina yetu ka kisukuma.


Yes walewalee...haha Safi kbs ..niliwahi ona sehemu kwenye Uzi wa walioungua mafuta Moro nikajua unaishi hapa. .i admire too ...maana Kuna vimemory fulani niliwahi ambiwa na mtu ingawa nilimdirect kwako...so nikiona id yako nakumbuka Jambo la uchungu fulani...! Nadhan umeelewa
 
Kuna watu kwenye hii thread ni wanafiki sana ni mabingwa wa kujisifu wanasaidia watu kumbe si lolote si chochote.
Kwanini mbona kama Mangenelo mtu safi niliona anakusapoti kwenye uzi mmoja kitambo.
 
[emoji23][emoji23]tumsaidiaje au tumpe hela?
Nipe tu Faza nita kuRepay back baadae maana hapa nina trip za safari kadhaa zinazohitaji nauri.

Story ilikiwa hivi mjini Dar nimetoka na pesa nusu nyengine nitumiwe na Bimkuu alikuwa na pesa yangu nimefika ananiambia mambo yamemtaiti, pesa nyingine niliuza PC ya jamaa uzi wangu wa mwisho (niliidalalia) jamaa nimemDirect mteja kauza kaniBlock (katapeli).
 
Yes naelewa.
 
Ubarikiwe sana, nimefurahishwa sana na wewe, usiishie kwa hapo tunaomba uzidi kutoa mwanga kwa wengine
 
Kumbe una roho nzuri hivyo...mungu akubariki pesa mingi unigawie na mimi.
 
Nice to meet you.
 
Unanipaga mzuka wa kutafuta mishiko , Safi sana[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…