mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
we unadhani nimekukubali ss?...yaani ivo tu?..:nono:
MH...umeniacha speechless!
usinikubali haraka...
MH...umeniacha speechless!
usinikubali haraka...
we unadhani nimekukubali ss?...yaani ivo tu?..:nono:
Basi tuhame hapa...!:yo:
Haya mimi nimekuhurumia, njoo unioe basi.jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
hee...ukaguzi wa nn tena saiv?
kwanini unataka kuolewa na mdogo wako?jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu