mnionee huruma ma binti na mimi nahitaji mchumba

mnionee huruma ma binti na mimi nahitaji mchumba

Wakiwa na kiu wanakuwa wapolee ngoja waonje utasikia mademu wa sikuhizi hakuna marriage material haha stuka
 
Mwanaume kujiamini kaka, adui namba moja ni uoga wako, ondoa hofu halafu usipende kujifanya mnyonge hata kama unahisi uko hivyo. wanawake wengi hawapendi mwanaume anayejihisi mnyonge na asiyejiamini.
 
Mwanaume ukishaonesha unyonge kama uoneshavyo utaishia kupata mawindo hafifu au kukosa kabisa.
Mwanaume unatakiwa uungurume kama Simba mla nyama....
 
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
Hii ni dalili tosha kuwa wewe una mapungufu!!!
umefanya la maana kuja humu jamvini utaopoa tu
wenye mapungufu wenzako....
Ila usirudi tena kutuletea malalamiko
 
Umetoa wasifu wako tayari, kwanini uwe na wasiwasi kwa kuomba uonewe huruma? Au metoa wasifu wa uongo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom