mnionee huruma ma binti na mimi nahitaji mchumba

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
 
Wa PM full picture yako basi .............!
Andunje ni watamu balaa...wa dada changamkieni basi..........!:tape2:
 
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu

nakama huna hela nani atakuonea uo uruma xaxa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom