Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Nenda bukoba kuna wenye huruma kama ww kaka
Shika adabu yako au uantataka watu wa Bukoba tukuSerukambe
Nenda bukoba kuna wenye huruma kama ww kaka
jamani na mimi pia nahitaji mchumba umri
wangu miaka 27 elimu kidato cha sita, kazi
mjasiriamali, kimo mimi ni mfupi,rangi mimi ni
mweusi, mchumba nahtaji kuanzia miaka 18
hadi 25 ani pm ntampa namba zangu
Wakiwa na kiu wanakuwa wapolee ngoja waonje utasikia mademu wa sikuhizi hakuna marriage material haha stuka
Ya kweli hayo eeh!!Haya mimi nimekuhurumia, njoo unioe basi.
kwanini unataka kuolewa na mdogo wako?
copy kwa manoah