Mandela5599
Member
- Jul 28, 2020
- 94
- 314
Naitwa Emmanuel, nimekua nikifwatilia habari nyingi na Mambo kedekede kutoka JF... Nikijaribu ku-chek thread nyingi hasa kuhusu biashara naona nmechelewa Sana, tuko pamoja sana
Sawa mjukuu.Naitwa Emmanuel, nimekua nikifwatilia habari nyingi na Mambo kedekede kutoka JF... Nikijaribu ku-chek thread nyingi hasa kuhusu biashara naona nmechelewa Sana, tuko pamoja sana