Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Huyo dada alikufa kwa virusi vya Ukimwi na akaomba watoe hizi picha kwa watu wote waone.Picha kama hizi zinatusaidia nini jamani?nadhani tufanye vitu vya kuelimisha zaidi ya hapa
We msema hovyo kwako kila kitu utaaaaaaaamu ee?mhhhhhh iwe boju.............aliona utaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamu..........:mod:
kweli kbs, picha kama hizi zinatunyima hata hamu ya kula, ful kinyaaa!Picha kama hizi zinatusaidia nini jamani?nadhani tufanye vitu vya kuelimisha zaidi ya hapa