Mnene Huyu Kiboko

Hahahahahahah. Mi wa kawaida sana shost.. Mimi nilikua mwembamba niseme ila nikaja kunenepa... Nilishangaa kabisa nikawa najiuliza inamaana majirani ndo wananiona leo?? Pia Nikinenepa njiani naitwa itwa hadi kero tofauti na nivokuwa kembamba.. Afu huwa nanenepa maeneo fulani hivi hata kwa kuniangalia tu nakua katamuuuuuu

#tafitibinafsi#


Cc Smart911
Kama wewe shost, huoni smart alivyokamatia?
 
Kwa kweli big woman wana personality haswa
Yaani ukimshusha mahali wanasema boss huyo.

Hata Oprah Winfrey alipojaribu kujikondesha alipoteza mvuto kwenye show zake.
Ikabidi ale sana arudi kama mwanzo, na watu haoooo tena wakajaza ukumbi chezea manyama wewe

Kwanza huwa wapole sana maana wameridhika
 
mahondaw mwanamke ukijikubali unakuwa mtamu sana, yaani sana ni vizuri mwanamke kuwa na umbo la kati umekaa kaa vizuri tu unavutia siyo uboonge au mtu mwembambaaa.
 
halafu utakuja kutana na mwingine ni zembe kama konokono ukipiga raundi moja kashafleti utakuja tena kufungua nyuzi.
 
Wenzio wanawaza kuanzisha viwanda wewe unawaza Semi-Trailer
Kwahiyo ukiwa unawaza kuhusu kuanzisha viwanda mambo mengine yote yanasimama?hurusiwi kuwaza kuhusu semi trailer!

BTW huku ni MMU na nimejibu kulingana na Uzi!
 
Reactions: amu
Huyu jamaa mvivu sana yaani ujanja wote huo ulikuwa hujabutua Bonge?



Hahahahah nacheka kitusi
 
Vyembamba vinashombo sana hawakukuita walijua ni vile vile jilie uende kutongoza chembamba lazima ujue matusi ukitukane mpaka kijione kijinga ndo ukasomee risala ila ukikala tu vyepesi kubinuka

Sasa umekua Bonge ngoja na Mimi nilete kero halooo

Mahondwaaa WA kuhondola
 
Vibonge watamu sana ila asiwe wale Vibonge nyanya ambao papuchi hazionekani
Unapekua MZEE we vipi . unaingiza mpaka kichwa ikibidi lazima uzitate majora na minora zilipo anza kushuka taratibu

Wanene wanahitaji bruiz ila nyembamba usijua ndombolo umelika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…