Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM).
"Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee.
"Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri hospital ukaondoka Saa Nane au Tisa au Saa Kumi jioni kutokana na wingi wa watu wanaokwenda kupata huduma.
"Kwa kipindi cha miaka mitano kila wilaya ya Zanzibar kuna hospital ya kisasa na ghorofa yenye vifaa tiba vya kisasa. Na madaktari bingwa. Huduma za afya Zanzibar ni bure, hakuna malipo"