Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Huu uzi umekosa credibility ya kuwa hapa JF,...hebu jaribu FB labda watu wataelewa...unaandika wala hauleweki.
Huwezi kua na akili matope ya ku-post nonsense za makundi ndani ya GT,ndani ya Arusha mjini(w)hakuna mwanasiasa zaidi ya Mwalusamba,anajitambua,anaelewa majukumu yake,na hawezi tumikia Wezi badala ya Nchi yake,Jana alifanya wonders kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuuza sera za chama na si kuhangaika na lema kama nyinyi mabubu msiojiweza..Chezea Mnec Mwalusamba weyeee...Wewe mwenyewe ni incredible, hilo moja lakini la pili ujumbe umefika na umeshapokelewa @ Ingwe
Wewe mwenyewe ni incredible, hilo moja lakini la pili ujumbe umefika na umeshapokelewa @ Ingwe
Huwezi kua na akili matope ya ku-post nonsense za makundi ndani ya GT,ndani ya Arusha mjini(w)hakuna mwanasiasa zaidi ya Mwalusamba,anajitambua,anaelewa majukumu yake,na hawezi tumikia Wezi badala ya Nchi yake,Jana alifanya wonders kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuuza sera za chama na si kuhangaika na lema kama nyinyi mabubu msiojiweza..Chezea Mnec Mwalusamba weyeee...
chodola wewe ninajua uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana na post hii umeandika ukiwa na kundi la watu wewe sindo mke wa lowasa na umepewa iyo kazi kumchafua mnec wa arusha mjini ninajua ivyo na mnec huwezi kumfananisha na wewe kundi la lowasa ujira kula nyama mnec anakubalika kwa kiasa kikubwa sana tafuta mbinu nyingine ya kufanya sio hiyo.
Jana baadhi ya makada wa Arusha Mjini walishangazwa na kiongozi huyo anayetegemewa kuwawakilisha wao katika vikao vya juu vya Chama kujisifia hadharani juu mambo ya kipuuzi.
Haya yalitokea baada ya kile kinachosemekana kuwa kijana huyu alikwaruzana vibaya na viongozi wenzie hasa Katibu wa Chama Wilaya baada ya yeye (Mwalusamba) kukasirika eti kwa nini Katibu alisahau kumtambulisha jukwaani.
Pamoja na Katibu kumtaka radhi kiungwana na kumwambia hayo ni usahaulifu tu wa kibinadamu jamaa alimjia juu akimfokea na kumwambia waweza kusahau yote ili si kutomtambulisha MNEC.
Haya ni maneno aliyokuwa akiyasema yeye mwenyewe baada ya varangati na Katibu hiyo akijisifia kuwa kwa kosa hilo Katibu huyo atamtambua na Arusha ataiona chungu.
Ila katika hili sisi wadau tunamwakikishia Katibu tuko nyuma yake na mpuuzi mmoja asimbabaishe. Katibu chapa kazi wala usiwe na shaka! Mawaziri wakati mwingine wanasahaulika kutambulishwa sembuse huyo.
Huyu anayempa kiburi ipo siku yatamtokea puani. Katibu endelea na kazi na ikibidi endelea kutomtambulisha na mumwabie awe na maadili ya uongozi anawezaje
Kujisifia haya hadharani??
Tabia za Lema hizi. Endelea na kazi yako Katibu'
Huyu anaejiita Shondola ni Yule mchumi wa kwanza shoga(w) Arusha mjini,Jina lake ni Victor wa Manispaa Ana gx 100,jamaa hula ni chakula kweli,kwa sasa amefuga ndevu kuua soo,ila ni shoga mzuri,bahasha wake anajulikana.familia ya panya